paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 588
mkuu mbona km bado haujasema?Sijawahi kufanya ngono uzembe sina dem miaka 3 sasa lakini pumbu zinawasha kichwa cha uume kinaota vipele vinawasha balaa nimetembea hospital zote sioni msaada asa juzi kuna lishangazi limenielewa balaa linataka sexy je nifanyeje?
Maria na hozee 😂mkuu mbona km bado haujasema?
kichwa cha mb.oo kinawasha hlf unasema haujafanya kitu🤔
mbn km stori za maria na yosefu izi
Vitu vidogo hivyo sio lazima hospitali. Ni usafi binafsiNenda hospitali mkuu ukapate tiba usije kuwaambukiza na wengine
niko naimagine mtu hadi anapata vipele she za siri🤢🤢Vitu vidogo hivyo sio lazima hospitali. Ni usafi binafsi
Sasa kama boxer anavaa wiki nzima moja bila kuifua halafu ukute apo anafanya kazi ngumu za kutoa jasho kuoga ni mara mmoja tena kujimwagia maji bila kujisugua unategemea nini..niko naimagine mtu hadi anapata vipele she za siri[emoji1785][emoji1785]
Kwakweli mpeane elimu... hii ni aibu 🤭Sasa kama boxer anavaa wiki nzima moja bila kuifua halafu ukute apo anafanya kazi ngumu za kutoa jasho kuoga ni mara mmoja tena kujimwagia maji bila kujisugua unategemea nini..
Vijana wakiume jifunzeni kujipenda na kujijali.