Sijafanya ngono zembe miaka mitatu lakini uume unawasha

Sijafanya ngono zembe miaka mitatu lakini uume unawasha

paul miteda

Senior Member
Joined
Jan 19, 2023
Posts
131
Reaction score
588
Sijawahi kufanya ngono uzembe sina dem miaka 3 sasa lakini pumbu zinawasha kichwa cha uume kinaota vipele vinawasha balaa nimetembea hospital zote sioni msaada asa juzi kuna lishangazi limenielewa balaa linataka sexy je nifanyeje?
 
mkuu mbona km bado haujasema?

kichwa cha mb.oo kinawasha hlf unasema haujafanya kitu🤔

mbn km stori za maria na yosefu izi
 
Sasa kama boxer anavaa wiki nzima moja bila kuifua halafu ukute apo anafanya kazi ngumu za kutoa jasho kuoga ni mara mmoja tena kujimwagia maji bila kujisugua unategemea nini..

Vijana wakiume jifunzeni kujipenda na kujijali.
Kwakweli mpeane elimu... hii ni aibu 🤭
 
Una fangasi sugu...meza terbinafine hslafu paka uboo scaboma.

Hizo nguo za ndani choma moto zote au fua na maji moto sana na upasi.

Acha uchafu
 
Back
Top Bottom