Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Hakuna sababu.
Kwa maendeleo waliyofanya kwa miaka mitano hakukuwa na sababu ya kusafirisha watu kwa malori hata kufanya kampeni hakukuwa na haja wangelala tu.
Si bora hata CCM inawajali wapiga kura wake kwa kuwapa usafiri hata Kama ni malori kuliko Chadema.
 
Si bora hata CCM inawajali wapiga kura wake kwa kuwapa usafiri hata Kama ni malori kuliko Chadema.
Unaweza kuthibitisha kwamba wanaokwenda kwenye mikutano ndio wapiga kura?
We tulia mzee baba mwenyewe kashaona upepo sio mzuri [emoji23][emoji23]
 
Picha za maandalizi ya majukwaa ndo unazifanyia tathimini ?? Acha uongo mkuu ...acha wala hautakusaidia chochote
 
Lissu kawafokea sana watu wa shinyanga jana badala ya kuomba kule.Duuuuu chadema mmechanganyikiwa
 
Poleni ila upande wa pili hali saaaafi fungua ujionee mambo ya simiyu
 

Attachments

  • VID-20200904-WA0041.mp4
    3.5 MB
Tatizo lipo kwa Mgombea mwenyewe. Matusi, Uropokaji na Kejeli vinamfanya asiaminike mbele ya Wananchi.
Hayo Matusi, Uropokaji na Kejeli ilifaa awaachie Wagombea Ubunge na Madiwani, siyo yeye. Inaonekana ndani ya Chama chake anawamudu wote kuanzia Mwenyekiti na Katibu wake, ndiyo maana wanashindwa kumshauri.
 
Nonsense. Huyu mleta mada atakuwa mnafiki sana ni ccm lkn anajifanya Chadema. Sasa ccm wanaosomba watu kwa malori mbona huwasemi.
Acha ujinga wako wewe, ccm mwenyewe.
Mimi ni msema kweli
Alafu ukisema ccm wanasombwa na malori hawa hapa kwenye picha wapo kwenye ndege?
 
Umejuaje kama hawalali?
Hakuna sababu.
Kwa maendeleo waliyofanya kwa miaka mitano hakukuwa na sababu ya kusafirisha watu kwa malori hata kufanya kampeni hakukuwa na haja wangelala tu.
 
Hawana sera ma ccm haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…