Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Mikutano ya chadema inajaa watu isipokuwa kinachofanyika sasa ni umoja wa vijana wa CCM kushirikiana na le mutuz cyprian Musiba kuwahujumu chadema kuwatengenezea picha kibao za watu wachache kwenye mikono ya madiwani kisha kuonyesha kuwa ni watu wa mkutano wa mgombea Urais wa chadema ni propaganda za kishamba sana,
 
Hizi picha zilipigwa wakati watu wanaanza kuwasili uwanjani
Wakati watu wanaanza kuwasili uwanjani😲? We huoni viongozi tayari wanaonekana kuwepo hapo jukwaani..? Sio lazima kujifariji katika kila Jambo, muda mwingine tuukubali ukweli hata Kama utakuwa mchungu😂😂😂
 
Hujuma unayomaanisha ni wao kuchukua picha angle 90, kitu ambacho nyie hamtaki..?
 
Watumishi wapo wangapi?
Ukishajua idadi yao jitahidi ujue na idadi ya watu walioko nyuma yao kwa maana ya wazazi wao walioko vijijini wanaowategemea watoto wao ambao ni watumishi, watoto wa watumishi, rafiki zao wa dhati wanaoshuhudia maisha magumu, wategemezi wao wote.

Usiangalie mlima ulitokeza juu ya uso wa bahari, ndani ya bahari mlima unaweza kuwa mkubwa zaidi.
 
Kwenye hao watumishi pia ujue wapo walioingia kwa mgongo wa watawala/makada/wakereketwa na wao wana chain ya watu wao hawawez kubali watu wao watoke wakati na wao ndo wanakula hapo usiangalie upande mmoja tu.....wale mnaosemaga wanasaidia kupiga bao la mkono ni watumishi wa Sudan itakua
 
Unaota wewe.
Kuna kundi kubwa liko against mkuu
Wale graduates wa kuanzia 2015
Kuna wafanyabiashara kibao
Watu wa korosho
Sijui kama unayajua haya
Mzee mwenyewe anahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaota wewe.
Kuna kundi kubwa liko against mkuu
Wale graduates wa kuanzia 2015
Kuna wafanyabiashara kibao
Watu wa korosho
Sijui kama unayajua haya
Mzee mwenyewe anahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimekuuliza hao watumishi wapo wangapi? Waliokosa ajira nao ni watumishi?
 
Mimi nimekuuliza hao watumishi wapo wangapi? Waliokosa ajira nao ni watumishi?
Nakuelewesha kwa kina tu.
Sina chama ila trend nazisoma
Vyama vyote vilivyoko sokoni kujinadi vina makandokando mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakuelewesha kwa kina tu.
Sina chama ila trend nazisoma
Vyama vyote vilivyoko sokoni kujinadi vina makandokando mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Utaziona akili za wabongo mwishoni.........kwa hayo yote ila kuna watu bado wako loyal sana kwa pande zao za kisiasa
 
Pale Dodoma siyo mtaji wa CDM. Kwa nini tuwekee nguvu nyingi? Tuna focus kupata 60% kutoka kwenye strategic regions zinazojitambua. Kama mnakuwa na mwakilishi kama Kibajaj Lusinde tuwaeleweje??
 
We pimbi vipi? Umeona shazi la Mbeya

Next time uje kwa adabu, buku 7 za polepole zisikutoe akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…