I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Sep 7, 2020 #241 Countrywide said: Acha ujinga wako wewe, ccm mwenyewe. Mimi ni msema kweli Alafu ukisema ccm wanasombwa na malori hawa hapa kwenye picha wapo kwenye ndege?View attachment 1558806 Click to expand... Chama chenu kinafanya zaidi ya hayo.
Countrywide said: Acha ujinga wako wewe, ccm mwenyewe. Mimi ni msema kweli Alafu ukisema ccm wanasombwa na malori hawa hapa kwenye picha wapo kwenye ndege?View attachment 1558806 Click to expand... Chama chenu kinafanya zaidi ya hayo.
Mzee Wa Republican JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 1,666 Reaction score 847 Sep 7, 2020 #242 mugah di mathew said: Ndugu zangu naombeni na Mimi miaka 10 kama mwinyi,mkapa na kikwete ,kwani Mimi niliwakosea nini mtake kunipa mitano tu? Click to expand... MMMMHHHHH
mugah di mathew said: Ndugu zangu naombeni na Mimi miaka 10 kama mwinyi,mkapa na kikwete ,kwani Mimi niliwakosea nini mtake kunipa mitano tu? Click to expand... MMMMHHHHH
Mzee Wa Republican JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 1,666 Reaction score 847 Sep 7, 2020 #243 Countrywide said: Kamanda achana na hao ccm, watu ni muhimu kwenye kampeni. Leo dodoma hakuna watu kabisa, kuna tatizo chadema Click to expand... Lakini pia mseme kwamba Dodoma ni moja ya ngome kuu za ccm. Ni lazima uwepo mkakati wa makusudi wa kuzitingisha ngome tiifu za ccm kama hizo
Countrywide said: Kamanda achana na hao ccm, watu ni muhimu kwenye kampeni. Leo dodoma hakuna watu kabisa, kuna tatizo chadema Click to expand... Lakini pia mseme kwamba Dodoma ni moja ya ngome kuu za ccm. Ni lazima uwepo mkakati wa makusudi wa kuzitingisha ngome tiifu za ccm kama hizo
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Sep 7, 2020 #244 Tusimaliziane bando la kubiushana. Rais anajulikana.