Chama chenu kinafanya zaidi ya hayo.Acha ujinga wako wewe, ccm mwenyewe.
Mimi ni msema kweli
Alafu ukisema ccm wanasombwa na malori hawa hapa kwenye picha wapo kwenye ndege?View attachment 1558806
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama chenu kinafanya zaidi ya hayo.Acha ujinga wako wewe, ccm mwenyewe.
Mimi ni msema kweli
Alafu ukisema ccm wanasombwa na malori hawa hapa kwenye picha wapo kwenye ndege?View attachment 1558806
MMMMHHHHHNdugu zangu naombeni na Mimi miaka 10 kama mwinyi,mkapa na kikwete ,kwani Mimi niliwakosea nini mtake kunipa mitano tu?
Lakini pia mseme kwamba Dodoma ni moja ya ngome kuu za ccm. Ni lazima uwepo mkakati wa makusudi wa kuzitingisha ngome tiifu za ccm kama hizoKamanda achana na hao ccm, watu ni muhimu kwenye kampeni. Leo dodoma hakuna watu kabisa, kuna tatizo chadema