Sijafurahishwa na wanafamilia wa mzee Kikwete kupita bila kupingwa

Sijafurahishwa na wanafamilia wa mzee Kikwete kupita bila kupingwa

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Yani watoto pendwa wa mama wote wana wapinzani.

Iweje familia ya mzee Kikwete isiwe na upinzani.

Kwamba huko Mchinga na Chalinze hakuna wana CCM waliotia nia kabisa kuyahitaji hayo majimbo?
 
Fanya namna ukachuane na mmojawapo ukitokea upinzani hiyo October!
 
Yani watoto pendwa wa mama wote wana wapinzani.
Iweje familia ya mzee kikwete isiwe na upinzani.
Kwamba huko mchinga na chalinze hakuna wana ccm waliotia nia kabisa kuyahitaji hayo majimbo?
Yeye ndio Boss
 
Mwislamu akipata madaraka anataka ukoo wake mzima uwe baraza la mawaziri, watoto wa Nyerere tumewajua ukubwani na hawana uchu wa madaraka,Mkapa hatujawahi kuwasikia watoto wake,magufuli vile vile,njoo sasa mwinyi,kikwete, na sasa mama ameleta hadi wakwe zake
 
Kama kweli
 
binafsi nashindwa kuelewa wananchotoka, wameshachota mali za kutosha hivi bado wanataka nini?
 
Back
Top Bottom