Sijafurahishwa na wanafamilia wa mzee Kikwete kupita bila kupingwa

Ilifika wakati nikaamini ule uvumi wa Mkapa ni 0. Siku ya msiba wake nikamuona mtoto wake waliyefanana sana.

1. Ben W Mkapa
2. Seif S Hamad
3. John Kijazi
4. John JP Magufuli

Hivi vifo havikuwa bahati mbaya kamwe. Ambaye labda hakuwa na nongwa iwapo angebaki hai ni huyo JKijazi. Wengine wote hapo, pasingekalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…