Sijaielewa Ligi ya Scotland

Sijaielewa Ligi ya Scotland

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Ina timu 12, zimecheza game 32 mpaka sasa. Navyofahamu Mimi ni kuwa timu zinakuwa na game ya home na away. Kwa mfano Kule EPL timu zipo 20 zinacheza game 38 kila moja. Hivyo hivyo kwa Spain, Italy na France. Hii ya Scotland mbona siielewi? Wanacheza game ngapi ngapi mpaka kufikia game 32 while kuna timu 12?

Ufafanuzi tafadhali.
 
wanacheza mechi tatu, tatu. Halafu timu zinagawanywa katika makundi mawili 6 bora(top) na 6 gozigozi(bottom), kila timu toka katika makundi inacheza mechi 5. Ligi ipo tofauti na ligi nyingine duniani. Ni ligi mpya waliigawanya miaka michache iliyopita,nadhani wanafanya hivi kui-rebuild. Nakumbuka kuna kipindi cha miaka ya 90 (Scottish First Division) ilikuwa juu kama ya England sema ndio hivyo hawana mshiko, kiasi kwamba Rangers na Celtics wanapigaga debe wajiunge na EPL sababu ya hilo.
 
Mkuu rubaman hizi 6 za chini zinagombea kitu gani? Namaana zinatafuta bingwa wa kushuka daraja au wanatafuta nini? hiyo game ya 3 inachezwa kwenye uwanja huru au inakuwaje?

Ufafanuzi tena mkuu.
 
Last edited by a moderator:
rubaman umesema timu zinagawanywa katika makundi mawili. Mbona ukiangalia msimamo wa ligi bado zipo zote?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom