Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Ina timu 12, zimecheza game 32 mpaka sasa. Navyofahamu Mimi ni kuwa timu zinakuwa na game ya home na away. Kwa mfano Kule EPL timu zipo 20 zinacheza game 38 kila moja. Hivyo hivyo kwa Spain, Italy na France. Hii ya Scotland mbona siielewi? Wanacheza game ngapi ngapi mpaka kufikia game 32 while kuna timu 12?
Ufafanuzi tafadhali.
Ufafanuzi tafadhali.