Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
wanacheza mechi tatu, tatu. Halafu timu zinagawanywa katika makundi mawili 6 bora(top) na 6 gozigozi(bottom), kila timu toka katika makundi inacheza mechi 5. Ligi ipo tofauti na ligi nyingine duniani. Ni ligi mpya waliigawanya miaka michache iliyopita,nadhani wanafanya hivi kui-rebuild. Nakumbuka kuna kipindi cha miaka ya 90 (Scottish First Division) ilikuwa juu kama ya England sema ndio hivyo hawana mshiko, kiasi kwamba Rangers na Celtics wanapigaga debe wajiunge na EPL sababu ya hilo.