Sijajisaidia kinyesi cha njano muda mrefu,nakunya cha kijani tu.

ha ha ha haaaaaa
pipo humu ndani mnavituko!!
Mie yangu sijuagi hata rangi yake ngoja nianze ukaguzi
angalia mkuu yasijekukukuta kama yangu ni mwendo wa kijani tu najihisi mbuzi sasa
 
gogo nasema tokaa halitaki we kinyesi nasema toka bado kigumu hakitoki we ma,vii nasema toka nikatoe mrejesho kinakatalia ndani,,labda niseme wewe mabaki ya chakula naomba utoke nje uote jua hakitoki+
jamani kimekataa.
inshaallah nimefanikiwa kukitoa bado kijani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…