Sijajisaidia kinyesi cha njano muda mrefu,nakunya cha kijani tu.

Sijajisaidia kinyesi cha njano muda mrefu,nakunya cha kijani tu.

naam hapo ukiona hivyo ujue mabadiliko ni dhahiri maliza wasi wasi hapo ccm inatoka mwilini yenyewe tu soon utaanza kutoa cha kaki ishara kuwa mabadiliko yameshaingia mwilini mwakoo.
ha ha haha khaaaaa
 
Duuh mjomba MBOPOLI ukikata gogo huwa una li zoom!!!
 
Last edited by a moderator:
Ahahahahahahahah comments za huku zimenifurahisha!
 
HIYO NI DALILI TOSHA YA KUKUONYESHA KWAMBA,U CCM UNATOKA MWILINI
MWAKO NA UNAKWENDA KUPOKEA UPAKO WA MABADILIKOOOOOO!!!
TOROKA UJE UONANE NA DAKTARI KITENGO CHA UKAWA:A S-cry::A S-rap:😛eace:😛eace:😛eace:!!!
hii ni dalili wewe ni yanga sana. njoo simba utainya mekundu, sio mbali na njano, au vipi!
 
HIYO NI DALILI TOSHA YA KUKUONYESHA KWAMBA,U CCM UNATOKA MWILINI
MWAKO NA UNAKWENDA KUPOKEA UPAKO WA MABADILIKOOOOOO!!!
TOROKA UJE UONANE NA DAKTARI KITENGO CHA UKAWA:A S-cry::A S-rap:😛eace:😛eace:😛eace:!!!
:Mkuu umetishaaaaa😀😀😀😀
 
SHIKAMOOO DAKITARI..mimi kwa muda mrefu karibu wiki 2 sasa nakunya kinyesi cha kijani tu,wakati mimi nimezoea kujisaidia cha njano hata wewe nafikiri utakua unakunya cha njano,,je hapo nini tatizo..msaada wako tafadhali maana nakata tamaa nimekimic kinyesi cha njano.asante

Huo ugojwa unaitwa toloka uje nahapo mtafute mtu humu anaitwa mshana,miss chaga watkuelekeza chumba cha matibabu
 
Aisee! Kweli tumetofautiana so gogo la leo still halija change color color?
nalisikilizia hapa nimetoka kula ugali dagaa wa mwanza kabichi ndizi za kuiva maziwa mgando..NITATOA MREJESHO NA PICHA
 
Ndio naelekea chooni hivi nitaleta feedback niko na simu so mutegemee na kapicha kamoja .
 
GOGO NASEMA TOKAA HALITAKI WE KINYESI NASEMA TOKA BADO KIGUMU HAKITOKI WE MA,VII NASEMA TOKA NIKATOE MREJESHO KINAKATALIA NDANI,,LABDA NISEME WEWE MABAKI YA CHAKULA NAOMBA UTOKE NJE UOTE JUA HAKITOKI+
jamani kimekataa.
 
Duh watu wamejitoa ufahamu,hizo recomandations zimenifanya nicheke tu duh
 
ha ha ha haaaaaa
pipo humu ndani mnavituko!!
Mie yangu sijuagi hata rangi yake ngoja nianze ukaguzi
 
Back
Top Bottom