Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha haha khaaaaanaam hapo ukiona hivyo ujue mabadiliko ni dhahiri maliza wasi wasi hapo ccm inatoka mwilini yenyewe tu soon utaanza kutoa cha kaki ishara kuwa mabadiliko yameshaingia mwilini mwakoo.
katika harakati za kuliflash
hii ni dalili wewe ni yanga sana. njoo simba utainya mekundu, sio mbali na njano, au vipi!HIYO NI DALILI TOSHA YA KUKUONYESHA KWAMBA,U CCM UNATOKA MWILINI
MWAKO NA UNAKWENDA KUPOKEA UPAKO WA MABADILIKOOOOOO!!!
TOROKA UJE UONANE NA DAKTARI KITENGO CHA UKAWA:A S-cry::A S-rap:😛eace:😛eace:😛eace:!!!
:Mkuu umetishaaaaa😀😀😀😀HIYO NI DALILI TOSHA YA KUKUONYESHA KWAMBA,U CCM UNATOKA MWILINI
MWAKO NA UNAKWENDA KUPOKEA UPAKO WA MABADILIKOOOOOO!!!
TOROKA UJE UONANE NA DAKTARI KITENGO CHA UKAWA:A S-cry::A S-rap:😛eace:😛eace:😛eace:!!!
SHIKAMOOO DAKITARI..mimi kwa muda mrefu karibu wiki 2 sasa nakunya kinyesi cha kijani tu,wakati mimi nimezoea kujisaidia cha njano hata wewe nafikiri utakua unakunya cha njano,,je hapo nini tatizo..msaada wako tafadhali maana nakata tamaa nimekimic kinyesi cha njano.asante
nalisikilizia hapa nimetoka kula ugali dagaa wa mwanza kabichi ndizi za kuiva maziwa mgando..NITATOA MREJESHO NA PICHA