Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Sabato Njema!
Ukifuatilia kwa umakini utagundua machawa wengi na Waasisi wa uchawa ni kizazi cha Miaka 70's na 80's.
Sijajua nini kilitokea Miaka hiyo kuanzia ulaji wa chakula, mitindo ya Maisha, siasa za wakati huo, mambo ya kiteknolojia.
Wanahistoria, watafiti na wanasayansi mjaribu kufuatilia nini kimesababisha kizazi cha Watanzania waliozaliwa Miaka hiyo kuwa Machawa kwa Kiasi kikubwa
Sitaki kuwataja lakini wanafahamika.
Kwenye machawa 10 Basi nane wamezaliwa Miaka ya 70's au 80's
Ikumbukwe pia kizazi hiki ndio kimezaa kizazi cha 90's na Gen Z.
Hawa kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah ni wafuata mkumbo tuu. Lakini si machawa OG
Nini kilitokea?