Sijajua kwa nini Kizazi cha 70's na 80'S ndio cha Machawa wengi. Wengine wanafuata Mkumbo tuu

Sabato Njema!

Ukifuatilia kwa umakini utagundua machawa wengi na Waasisi wa uchawa ni kizazi cha Miaka 70's na 80's.

Sijajua nini kilitokea Miaka hiyo kuanzia ulaji wa chakula, mitindo ya Maisha, siasa za wakati huo, mambo ya kiteknolojia.

Wanahistoria, watafiti na wanasayansi mjaribu kufuatilia nini kimesababisha kizazi cha Watanzania waliozaliwa Miaka hiyo kuwa Machawa kwa Kiasi kikubwa

Sitaki kuwataja lakini wanafahamika.

Kwenye machawa 10 Basi nane wamezaliwa Miaka ya 70's au 80's

Ikumbukwe pia kizazi hiki ndio kimezaa kizazi cha 90's na Gen Z.

Hawa kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah ni wafuata mkumbo tuu. Lakini si machawa OG

Nini kilitokea?
Mimi ni wa 72 na ulaji wangu ulikuwa mihogo na maboga...kwa bahati nzuri sikunaswa na huo ugonjwa wa kutolijali Taifa langu!
 
uchawa” linamaanisha tabia ya kujipendekeza kupita kiasi kwa kiongozi au mtu mwenye mamlaka, mara nyingi kwa kusifia, kutetea, au kumuunga mkono bila hoja za msingi—hata kama anafanya makosa.
Kwani kujipendekeza na kusifia ni kosa kikatiba?Kuona kuwa kiongozi fulani ana makosa si mpaka mahakama au taratibu za kimaadili zidhibitishe?Kama huyo anayeitwa chawa kaona huyo mtu ni safi na anamsifia je ni vigezo gani tutatumia kupima kosa lake.
HITIMISHO:Kama ndio hivyo ulivyosema basi huenda uchawa ukawa ni tofauti ya kimtazamo na kiitikadi wa mtu mmoja mmoja au kikundi fulani lakini utofauti huo sio kosa kisheria.
 
Sawa
 
Kwani kujipendekeza na kusifia ni kosa kikatiba?
hapana sio kosa, ila ni ugonjwa wa akili pale unapofanyika kwa minajiri ya kunufaika kinamna fulani na mtu huyo unayemsifia na hasa unapomsifia na kumtetea kwa kila jambo hata pale anapokosea.
Kuona kuwa kiongozi fulani ana makosa si mpaka mahakama au taratibu za kimaadili zidhibitishe?
una akili za kitoto sana, kwa hiyo hata ile kauli ya mama ako aliposema suala la utekaji ni drama tu na hakuna utekaji hapa nchini nayo pia ilhitaji kuthibitishwa na mahakama hili kuonesha kauli ile ni ya kipuuzi na hakupaswa na mkuu wa nchi? Kwamba huwezi kutambua kwa utashi wako mwenyewe pale kiongozi anapokosea bila hizo tume za maadili? Una uwezo mdogo sanq wa kifikra.
Kama huyo anayeitwa chawa kaona huyo mtu ni safi na anamsifia je ni vigezo gani tutatumia kupima kosa lake.
Ukiwa na akili timamu zinazofanya kazi sawa sawa lazima utaona ni jambo gani sahihi la kumsifia mtu na jambo gani sio sahihi, majority ya machawa hapa nchin huwa yanasifia tu hata kwenye ujinga.
HITIMISHO:Kama ndio hivyo ulivyosema basi huenda uchawa ukawa ni tofauti ya kimtazamo na kiitikadi wa mtu mmoja mmoja au kikundi fulani lakini utofauti huo sio kosa kisheria.
Uchawa ni ugonjwa wa akili ambao mara nyingi unakufanya uonekane mpumbavu machoni mwa watu wenye akili timamu haijalishi hata kama sio kosa kisheria.
 
hapana sio kosa, ila ni ugonjwa wa akili pale unapofanyika kwa minajiri ya kunufaika kinamna fulani na mtu huyo unayemsifia na hasa unapomsifia na kumtetea kwa kila jambo hata pale anapokosea.

una akili za kitoto sana, kwa hiyo hata ile kauli ya mama ako aliposema suala la utekaji ni drama tu na hakuna utekaji hapa nchini nayo pia ilhitaji kuthibitishwa na mahakama hili kuonesha kauli ile ni ya kipuuzi na hakupaswa na mkuu wa nchi? Kwamba huwezi kutambua kwa utashi wako mwenyewe pale kiongozi anapokosea bila hizo tume za maadili? Una uwezo mdogo sanq wa kifikra.

Ukiwa na akili timamu zinazofanya kazi sawa sawa lazima utaona ni jambo gani sahihi la kumsifia mtu na jambo gani sio sahihi, majority ya machawa hapa nchin huwa yanasifia tu hata kwenye ujinga.

Uchawa ni ugonjwa wa akili ambao mara nyingi unakufanya uonekane mpumbavu machoni mwa watu wenye akili timamu haijalishi hata kama sio kosa kisheria.

hapana sio kosa, ila ni ugonjwa wa akili pale unapofanyika kwa minajiri ya kunufaika kinamna fulani na mtu huyo unayemsifia na hasa unapomsifia na kumtetea kwa kila jambo hata pale anapokosea.

una akili za kitoto sana, kwa hiyo hata ile kauli ya mama ako aliposema suala la utekaji ni drama tu na hakuna utekaji hapa nchini nayo pia ilhitaji kuthibitishwa na mahakama hili kuonesha kauli ile ni ya kipuuzi na hakupaswa na mkuu wa nchi? Kwamba huwezi kutambua kwa utashi wako mwenyewe pale kiongozi anapokosea bila hizo tume za maadili? Una uwezo mdogo sanq wa kifikra.

Ukiwa na akili timamu zinazofanya kazi sawa sawa lazima utaona ni jambo gani sahihi la kumsifia mtu na jambo gani sio sahihi, majority ya machawa hapa nchin huwa yanasifia tu hata kwenye ujinga.

Uchawa ni ugonjwa wa akili ambao mara nyingi unakufanya uonekane mpumbavu machoni mwa watu wenye akili timamu haijalishi hata kama sio kosa kisheria.
Kwa hiyo mtu akifanya mazuri mengi akakosea moja au mawili asisifiwe kwa yale mengi mazuri.Wakimsifia waitwe chawa.Kwani we umekamilika na hujawahi kosea hata jambo moja?
 
Sabato Njema!

Ukifuatilia kwa umakini utagundua machawa wengi na Waasisi wa uchawa ni kizazi cha Miaka 70's na 80's.

Sijajua nini kilitokea Miaka hiyo kuanzia ulaji wa chakula, mitindo ya Maisha, siasa za wakati huo, mambo ya kiteknolojia.

Wanahistoria, watafiti na wanasayansi mjaribu kufuatilia nini kimesababisha kizazi cha Watanzania waliozaliwa Miaka hiyo kuwa Machawa kwa Kiasi kikubwa

Sitaki kuwataja lakini wanafahamika.

Kwenye machawa 10 Basi nane wamezaliwa Miaka ya 70's au 80's

Ikumbukwe pia kizazi hiki ndio kimezaa kizazi cha 90's na Gen Z.

Hawa kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah ni wafuata mkumbo tuu. Lakini si machawa OG

Nini kilitokea?
Wengi maisha yaliwapi walikuwa wanasubiri ajira hewa Sasa wameingia kwenye uchawa mazima
 
Kihistoria miaka hiyo ndo tuliletewa sana unga wa ugali kama msaada kutokana na kuharibika kwa uchumi.

Nimewahi kusoma sehemu mahindi ni chakula cha ng'ombe huko America Kaskazini na Kusini na yanadumaza akili.

May be chanzo kinaweza kuwepo hapo.
Duh!
 
Kwani kujipendekeza na kusifia ni kosa kikatiba?Kuona kuwa kiongozi fulani ana makosa si mpaka mahakama au taratibu za kimaadili zidhibitishe?Kama huyo anayeitwa chawa kaona huyo mtu ni safi na anamsifia je ni vigezo gani tutatumia kupima kosa lake.
HITIMISHO:Kama ndio hivyo ulivyosema basi huenda uchawa ukawa ni tofauti ya kimtazamo na kiitikadi wa mtu mmoja mmoja au kikundi fulani lakini utofauti huo sio kosa kisheria.
umeziwa mwaka gani?
 
Ikumbukwe pia kizazi hiki ndio kimezaa kizazi cha 90's na Gen Z.
Hawa Gen z ndiyo bure kabisa. Hakuna chochote wanachojua na hawajui kwamba hawajui, hakuna wanachosimamia. Kazi yao ni kufuata mkumbo tu, ndiyo maana nyumbu wengi wamo kwenye hili kundi.
Btw, hao 70s and 80s umewafanyia ulinganisho na kundi gani?
 
Sasa Gen na 90's wao ni kizazi cha mashoga na mapunga
Sabato Njema!

Ukifuatilia kwa umakini utagundua machawa wengi na Waasisi wa uchawa ni kizazi cha Miaka 70's na 80's.

Sijajua nini kilitokea Miaka hiyo kuanzia ulaji wa chakula, mitindo ya Maisha, siasa za wakati huo, mambo ya kiteknolojia.

Wanahistoria, watafiti na wanasayansi mjaribu kufuatilia nini kimesababisha kizazi cha Watanzania waliozaliwa Miaka hiyo kuwa Machawa kwa Kiasi kikubwa

Sitaki kuwataja lakini wanafahamika.

Kwenye machawa 10 Basi nane wamezaliwa Miaka ya 70's au 80's

Ikumbukwe pia kizazi hiki ndio kimezaa kizazi cha 90's na Gen Z.

Hawa kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah ni wafuata mkumbo tuu. Lakini si machawa OG

Nini kilitokea?
 
Ikifika saa 2 na robo usiku washa radio na tune TBC usikilize hotuba ya rais Mwal Nyerere

Utawasikia watu ambao walikuwa wakiitwa wapambe ambao sasa wanaitwa machawa.

Wanaitikia hivi "sema baba " hata Nyerere akiongea Pumba wao wana piga kelele na kusema Sema baba .

So ukifatilia huu uchawana umeanza kitambo Sana.

Nakuambia wewe fuatilia
Ukiweza kutaja machawa 10 wa Miaka ya 90 na Gen Z au 60's kurudi nyuma Mimi nakutajia machawa 100 bila kufikiria waliozaliwa Miaka ya 70's na 80's
 
Gen Z wamefanya kosa gani katika hii nchi ?
Hawa Gen z ndiyo bure kabisa. Hakuna chochote wanachojua na hawajui kwamba hawajui, hakuna wanachosimamia. Kazi yao ni kufuata mkumbo tu, ndiyo maana nyumbu wengi wamo kwenye hili kundi.
Btw, hao 70s and 80s umewafanyia ulinganisho na kundi gani?
Z
 
Nadhani 90 kuja 2000 ndio kuna binadamu wa hovyo tu, japo chanzo no wazazi wao wa 60, 70 na 80. Mtuwie radhi sana tumefanya mkaharibikiwa.
 
Back
Top Bottom