Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kihistoria miaka hiyo ndo tuliletewa sana unga wa ugali kama msaada kutokana na kuharibika kwa uchumi.Sabato Njema!
Ukifuatilia kwa umakini utagundua machawa wengi na Waasisi wa uchawa ni kizazi cha Miaka 70's na 80's.
Sijajua nini kilitokea Miaka hiyo kuanzia ulaji wa chakula, mitindo ya Maisha, siasa za wakati huo, mambo ya kiteknolojia.
Wanahistoria, watafiti na wanasayansi mjaribu kufuatilia nini kimesababisha kizazi cha Watanzania waliozaliwa Miaka hiyo kuwa Machawa kwa Kiasi kikubwa
Sitaki kuwataja lakini wanafahamika.
Kwenye machawa 10 Basi nane wamezaliwa Miaka ya 70's au 80's
Ikumbukwe pia kizazi hiki ndio kimezaa kizazi cha 90's na Gen Z.
Hawa kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah ni wafuata mkumbo tuu. Lakini si machawa OG
Nini kilitokea?
Hicho Ndio Kizazi kilichowaletea Mfumo wa vyama Vingi nyie Simbilisi 🐼😂Kihistoria miaka hiyo ndo tuliletewa sana unga wa ugali kama msaada kutokana na kuharibika kwa uchumi.
Nimewahi kusoma sehemu mahindi ni chakula cha ng'ombe huko America Kaskazini na Kusini na yanadumaza akili.
May be chanzo kinaweza kuwepo hapo.
Gentleman,Sabato Njema!
Ukifuatilia kwa umakini utagundua machawa wengi na Waasisi wa uchawa ni kizazi cha Miaka 70's na 80's.
Sijajua nini kilitokea Miaka hiyo kuanzia ulaji wa chakula, mitindo ya Maisha, siasa za wakati huo, mambo ya kiteknolojia.
Wanahistoria, watafiti na wanasayansi mjaribu kufuatilia nini kimesababisha kizazi cha Watanzania waliozaliwa Miaka hiyo kuwa Machawa kwa Kiasi kikubwa
Sitaki kuwataja lakini wanafahamika.
Kwenye machawa 10 Basi nane wamezaliwa Miaka ya 70's au 80's
Ikumbukwe pia kizazi hiki ndio kimezaa kizazi cha 90's na Gen Z.
Hawa kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah ni wafuata mkumbo tuu. Lakini si machawa OG
Nini kilitokea?
uchawa” linamaanisha tabia ya kujipendekeza kupita kiasi kwa kiongozi au mtu mwenye mamlaka, mara nyingi kwa kusifia, kutetea, au kumuunga mkono bila hoja za msingi—hata kama anafanya makosa.Uchawa ndio nini?
Njaa mbaya sana aisehUgumu wa maisha
Kihistoria miaka hiyo ndo tuliletewa sana unga wa ugali kama msaada kutokana na kuharibika kwa uchumi.
Nimewahi kusoma sehemu mahindi ni chakula cha ng'ombe huko America Kaskazini na Kusini na yanadumaza akili.
May be chanzo kinaweza kuwepo hapo.
Sidhani kama umefanya utafiti wowote
well explained [emoji736]uchawa” linamaanisha tabia ya kujipendekeza kupita kiasi kwa kiongozi au mtu mwenye mamlaka, mara nyingi kwa kusifia, kutetea, au kumuunga mkono bila hoja za msingi—hata kama anafanya makosa.
Mambo ya Uchawa ni Hawa Vijana wa Energy wa miaka ya kuanzia 90sNakuambia wewe fuatilia
Ukiweza kutaja machawa 10 wa Miaka ya 90 na Gen Z au 60's kurudi nyuma Mimi nakutajia machawa 100 bila kufikiria waliozaliwa Miaka ya 70's na 80's