Sijajutia kuonana na Robert Kiyosaki

Sijajutia kuonana na Robert Kiyosaki

Ndio huyu jamaa aliyeandika kitabu cha The rich Dad and poor Dad? MaJuzi alishauri watu wawekeze kwa kununua Dhahabu na Silver wakati huu bei hiko chini baadaye watatajirika. Pia amewatahadharidha watu wawe makini kwenye crypto ni kama bahati na sibu ila wanunue tu kama pata potea lakini huu ndo muda wa kununua Bitcoin na crypto zingine na kusahau zisikufanye uwe na pressure.

Pia kashauri watu wasipuuzie kuwekeza kwenye commodities kama pamba ma ngano.

Jamaa alitake advantage ya mdororo wa uchumi wa 2008 akakopa na kuwekeza.

Kuna jamaa flani Marekani kakopa 250 million usd na kuwekeza kwenye Bitcoin kwa kuzinunua.
Shida ya salafu za mtandaoni usalama mdogo
 
Back
Top Bottom