Sijakutaja lakini

Sijakutaja lakini

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*TUNATOFAUTIANA* ...
Kuna watu wanaamka asubuh cha kwanza wanakuta sms ya;
*[emoji117]I LOVE YOU BABY!*
Na kuna watu wakiamka wanakutana na;
[emoji117] *BATTERY FULL REMOVE YOUR CHARGER!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijakutaja lakini....
 
Yote maisha sababu baada ya hapo unakuta txt nyingi baby jion wapi leo , ni kujipigia vipande tyu.
 
Hiyo I love you baby ina gharama na presha zake. Hapo hapo chini utakuta mlolongo wa shida kibao. Nachagua Battery full kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Today Is John Birthday From FACEBOOK Full Battery.
 
Back
Top Bottom