Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
natamani kufanya ila namna ya kuanza biashara hiyo ndipo nashishindwa, yaani sijui nianzie wapiFanya biashara sio kwa ajil ya pesa bali kwa ajil ni kitu unakipenda utakifanya kwa ukamilifu changamoto utapambana nazo
Kuwa huru kiuchumi ukiwa na maana ipiJitahd uwe huru kiuchumi ndio utaufikia utajiri kama bado haupo huru kiuchumi bado Safar IPO ndefu.
Weka mazingira pesa ikufate wewe na Sio wewe uifate pesa. Ukiona hili umefanikiwa kutajirika ni swala la Muda Tu.Kuwa huru kiuchumi ukiwa na maana ipi
Watu hawajazaliwa sawa, na hawajawahi kuwa sawa.Mh! Ninawasiwasi hamna kitu utafanya hapo sabab mwisho wa siku ni lazima ukubali kua lazima uchague moja kati au biashara. Kazi na biashara kwapamoja vinaongeza changamoto zaidi kuliko kupunguza.
Nimekuelewa rafiki angu, big upWeka mazingira pesa ikufate wewe na Sio wewe uifate pesa. Ukiona hili umefanikiwa kutajirika ni swala la Muda Tu.