Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nimkataze kwani mie ndiye niliyemleta humu??? Akhuu!!!!!
Nimekana kumkataza! Alafu wewe mapema hii unaenda wapi??mh! Leo una mkana? Poa, usiku mwema Kipipi
Nimekana kumkataza! Alafu wewe mapema hii unaenda wapi??
Mida hii kabisa??? Alafu unaamka saa ngapi? Anyways . . . .mi bado sijala mpaka baadae saana.Naenda kulala toka asubuhi nipo high mda huu ndio nipo low. Umekula?
Mida hii kabisa??? Alafu unaamka saa ngapi? Anyways . . . .mi bado sijala mpaka baadae saana.
Poa . . .ulale salama!Nafikiri nitaamka saa 3 au 4 maana na hm work! Poa, msalimie Erickb52
Smiling Saint bora umwambie afunike kakifua chake kabaya hata hakana mvuto