Sijamuelewa mke wangu

Sijamuelewa mke wangu

Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana.Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake! nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vzr kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine! nakaribisha ushauri
Tafuta atakaye kuwa anakuliwaza, huyu wa sasa achana nae
 
Maadhimisho ya kikoba hayakufanyika tena na hoteli haikukodiwa,?halafu kulala SI ni usiku jamani?au bosi alikuwa nao usiku mzima mpaka ashindwe kwenda kulala kwenye hiyo hoteli waliyokodi,halafu hataki kulala na wewe na wakati Kila mtu anachumba chake?
 
Usihukumu mapema, kabla ya yote,
Fuatilia mawasiliano yake ujiridhishe
Akiona yuko busy na simu au yuko makini sana na simu yake na hataki mwingine ajue anachofanya ajue tayari

Akiona anahangaikia sana appearance (mwonekano wake) kwa mavazi au kujipamba ajue anafanya hivyo amvutie mchepuko wake

Kila wakati anapenda kumlalamikia jamaa aonekane ana makosa

Sex drive (hamu ya kufanya ngono au romance) imepungua sio kama zamani

Hana hamu tena ya kuzungumzia sana future ya familia yao
 
Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!

Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!

Nakaribisha ushauri
Huyo mkeo ana kibenten chake kinampelekesha na ameshaona wewe huna kauli kwake,nahisi pia amekuzidi kipato ndio maana,sababu hakuna kikoba wanacholala huko huko maana asilimia kubwa ya wanawake huko wanafamilia zao na wanaheshimu ndoa zao.
 
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI

KATAA NDOA
NDOA NI USANII

LINDA AFYA YAKO YA AKILI KATAA NDOA

Mkuu, loneliness kills, ni ngumu kusema hautakuja kuoa unless uwe na familia bila ndoa hapo sawa, ila kuishi mwenyewe kama mwenyewe ni ngumu. Hapo ndo utakosa hadi afya ya akili. Kinachotakiwa ni kumpata ambaye mtakuwa na chemistry nzuri, ila ukifuata kichwa cha chini basi tutakuzika mapema kwa magonjwa ya moyo.
 
Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!

Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!

Nakaribisha ushauri
Kazi anafanyia mkoa tofauti na ulipo??
 
Mkuu, wacha presha.
Mwambie akupe itinnerary yoote, sehem wanayoenda, wanaenda wangapi, utaratibu wa kulala ukoje n.k.
One day before safari yao, usiku sana unamwambia tu wazi kua na wewe unaenda mikumi kwenye mapumziko. Haez kukukataza. Bas na we unaenda unakua unawaangalia ili uone kama ni ofisi au ni li msela linaenda kumkamua mafuta
Haya maswali yote ni ya kazi gani? Mwanamke anayejitambua kwanza ataomba ridhaa ya mume wake kabla hata hajawaambia wenzake kuwa ataenda au hatokwenda kisha atasikiliza jibu la mume wake.

Kama mume atasema sawa nenda amuulize mara mbili mbili kama ameridhia kweli aende kama hataki yeye hatakwenda kwa maana hiyo safari haina umuhimu kushinda mume wake, mwanaume akikubali kiroho safi hapo sasa akawaambie wenzake kuwa atakwenda hiyo ndio heshima kwa mume.

Sasa sio anakubaliana na wenzake wanapanga hadi wanafanya booking anamaliza ndio yeye anakuja mwambia mume wake sasa ili iweje na alishafanya 90% ya process?

Me nadhani ifike wakati tukubaliane tu kuwa mwanamke akiwa na kiburi na maamuzi binafsi ndani ya mahusiano au ndoa huyo si wa kuishi nae aende huko kwenye mamlaka ya juu kumshinda mume wake ambayo amechagua kuitii. Kama ni anasikiliza na kutii maamuzi ya rafiki zake basi akaishi nao wampe na mahitaji yake yote, kama ni wazazi wake basi akakae nao, kama anakusaliti na boss wake basi akakae nae waishi kwa uhuru ila yote kwa yote usivumilie dharau na upumbavu wa mwanamke asiye tii na kuheshimu maagizo yako ambayo yanalenga kulinda ndoa yenu.
 
Kikoba gani cha kukodi mpaka hoteli watu walale hukohuko?, Kuna starehe au raha gani ya mwanandoa kuona fahari ya kumuacha mme/mke wake "eti anaenda kwenye sherehe ya kuvunja kikoba?". Siku hiyo ya kikoba Mambo yake yaligoma na mchepuko wake ndio maana kaja na trip ya mikumi, muulize nani anaratibu hiyo trip hapo kazini kwake?, Je watu nje ya ofisi wanaruhusiwa kwenda?, Fanya upelelezi kwa wafanyakazi wenzake kama kuna Jambo Kama hili? Na ukikuta ni kweli angalia main organize wa trip ni ke/me hapo utakuwa umepata jibu sahihi Ila.... Huyo mke anapasuka kwa jamaa fulani ndio maana anahangaika kutafuta nafasi.
 
Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!

Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!

Nakaribisha ushauri
Wewe jamaa una akili sana..ukiamua kusepa mapema ni kuwa unakuwa umeyaepuka mateso ya roho ambayo yanaweza kuja kupelekea magonjwa ya kisukari na presha..hapo ukute anajiiba na mume wa mtu
 
Punguza Pressure ungefanya uchunguzi kwanza, Wanawake wengi wamekuwa pasua kichwa sana kuna Mke wa mtu Mume wake ni mgonjwa, kwasasahivi ana Mchepuko wake alishatambulishwa kwa wakwe wapya anataka talaka ili aendelee na Mchepuko wake.
 
Back
Top Bottom