Sijamuelewa mke wangu

Sijamuelewa mke wangu

Shukuru Mungu kakutaarifu kabla. Wengine wanakujulisha wakiwa washafika 'Mikumi' kabisa.

Hawa viumbe wakiamua lao huna la kuweza kufanya kumzuia. Huyo hata ufanye nini huko anakotaka kwenda atakwenda tu.

Kama bado unampenda, mruhusu aende na usitake kuhoji zaidi maana pengine hutokuwa na moyo wa kuuvumilia ukweli endapo utaujua. Bora ubaki na faraja kuwa yupo na wenzie mikumi kuliko kuchunguza zaidi na kugundua yupo na mwenzie.

Hii inapaswa iwe "wake up" call kwako kujua kuwa tayari kuna hitilafu katika ndoa yako. Maamuzi yako ya sasa yasiwe juu ya safari ya mikumi bali aliefanya safari ya mikumu iwepo na mustakabali wa ndoa yenu.
Huu ni ushairi wa ovyo kabisa,yaani uchapiwe kijinga hivyo,huyo mwanamke anaenda kuliwa kimasihara,hakuna cha safari wala nini
 
Wanawake wengi huwa hawawezi mvumilia mwanaume ambaye anamatatizo ya kiuchumi.Mkeo ukiona anakiburi basi mwanaume jikague mfukoni ukiona hauna pesa jua ndio tatizo na endapo utaona pesa unazo jua wewe ndio tatizo jikague mienendo yako na kauli zako.Ushauri wangu kwako km mliishi kwa muda wote huo nadhani mmezoeana na mmefanya mengi basi mvumilie tuu na punguza wivu maisha yasonge.
Unaweza ukawa na vyote, pesa na nguvu na bado akakucheat.
Tatizo ni malezi.
 
Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!

Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!

Nakaribisha ushauri
Kommaaaaaaaa
 
Watu wanapenda ku complicate maisha. Maisha yenyewe magumu unatafuta stress za bure. Asipokuelewa basi
Kucomplicate maisha ni kuendelea kumng'ang'ania huyo ngisi anayetafuta kuchepuka kwa visingizio vya kijinga kabisa na kitoto. Jamaa amwache kwa talaka huyo ngisi aendelee na ratiba zake kwa nafasi na uhuru. Visingizio vya kitoto kabisa ngisi anatoa kama vile mtoto wa secondary anavyodanganya kwa wazazi apewe ruhusa ya kulala nje ya nyumba.
 
Back
Top Bottom