Sijamuona mke wa Askofu Jonathan Shemhambu kwenye tukio mazishi yake

Sijamuona mke wa Askofu Jonathan Shemhambu kwenye tukio mazishi yake

Endelea kumtafuta ukimuona utujuze zaidi
Nafuatilia hii ibada kwa ukaribu sana nimependa mahubir ya Maboya sana.
Lakini inaonekana alikua mtu wa karibu na alikua mtu wa watu sana, pia Mwamposa alimpenda sana.
Ila sijamuona mke wake toka ibada ianze hata sasa wanaweka mauwa sijamuona mke wake yuko wapi?
 
Msibani tunajumuika ili kuwapa pole wafiliwa,
kuomboleza nao pamoja,
kufarijiana, kumuombea alietangulia,
na ni sehemu ya Ibada ya kujifunza juu ya maisha ya Duniani kwa tunaosalia nyuma, - Kiimani.
Hilo tu, ndilo linalotupeleka pale na kila mtu mwenye akili timamu yampasa kulijua vyema.

Hii habari ya kuanza kuchunguza nani yupo nani hayupo na kwanini
hadi kuanzisha Uzi mtandaoni inasikitisha,

Uswahili uliopitiliza.
Mke asiwepo msiba wa mme? Pengine anaumwa.
 
Nafuatilia hii ibada kwa ukaribu sana nimependa mahubir ya Maboya sana.

Lakini inaonekana alikua mtu wa karibu na alikua mtu wa watu sana, pia Mwamposa alimpenda sana.

Ila sijamuona mke wake toka ibada ianze hata sasa wanaweka mauwa sijamuona mke wake yuko wapi?
Ndo maana ulikuwa unataka akuoe?so aliposema hapana unatafuta mkewe? Tafuta wanaume single.
 
Back
Top Bottom