Sijamuona Prof. Manya katika Baraza jipya la mawaziri

Sijamuona Prof. Manya katika Baraza jipya la mawaziri

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Alikuwa naibu waziri madini. Ni Prof mwenye elimu bobezi ya madini. Anajua nje ndani kuhusu madini. Ila ndio hivyo uongozi ni kupokezana kijiti
 
Alikuwa naibu waziri madini. Ni Prof mwenye elimu bobezi ya madini. Anajua nje ndani kuhusu madini. Ila ndio hivyo uongozi ni kupokezana kijiti
Labda Hajui kufanya hivi
20211207_144841.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku alimsifia sana Hayati kuwa ameongeza Pato la Nchi kupitia madini kuliko serikali zote za awamu ya 1,23,4 ni maoni yangu mm lichunga Ng'ombe.
 
Back
Top Bottom