Nadhani mkeo akikumbuka maumivu aliyoyapata leba room wakati akimleta mtoto wenu duniani akiunganisha na kauli yako ya kutiliashaka uhalali wa mtoto kwako wakati akijua wewe ndiye uliyepandikiza mbegu, INAUMA SAANA. Wewe zidi kumwomba msamaha mkeo na usirudie tena kauli uliyoitoa.Ushawahi kuingia delivery room/leba ukajionea watoto wanavyokuja duniani? Kama umewahi basi nitakushangaa lakini kama hujawahi hebu jaribu kuingia mtakapo-plan kuleta mtoto mwingine,then utapata majibu ya maswali yako yoooote.
kaka we umeliwa kuanzia sasa chokochoko zote kwa mkeo uache kama bado unapenda muishi pamoja,yaani huyo kweli master yake kaitumia vizuri,kitendo cha wewe kukubaliana nae kuuza nyumba ukae kwake pole sana bro inabidi uwe mpole hata kama kakauchezea faulo maana mi yashanikuta kama yako nae alikua binti wa hukohuko arusha,nakumbuka mwishomwisho wa mapenzi mama alinifukuza kama mbwa nyumbani na nguo zilitupwa nje uwanjani na majirani wanaona,nnachoshukuru mtoto sina shaka nae kabsaaa maana nilipiga kopi ya nguvu,sema baaada ya kuzaa mama alikuja na revolution ndio tukaachana,sasa ushauri wangu huyo kashakuzidi ujanja,ukianza kuingiza mambo ya kupima d.n.a na nini umekwisha mama atajua tuu,mtoto tayari mkubwa huyo hata ufanyeje atamwambia,na gia zao ndo hizo kwanza lazima unyimwe unyumba ili uzidi kukasirika na yeye akuwashie moto na ikiwezekana kukutimua kabisa,inawezekana upole wake ni imani tu alikua anakuwekea sababu hujawahi leta ukorofi sasa ukilianzisha hilo kashapata sababu,yaani nakuonea huruma kitanzi kinakunyemelea,mi nilipata uchizi kabisa mpaka nikaombewa na kufanyiwa counselling ya nguvu ndo nikapiga moyo konde na mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo.mkuu wakati tunaoana ye alikuwa amemaliza Masters na alikuwa amekusanya senti na kujenga bonge la hausi Njiro Arusha.. . .
Mie nilikuwa na nyumba maeneo ya kijitonyama lakini haikuwa kubwa kama yake. Tukakubaliana kuiuza ili tununue usafiri pamoja na miradi flani ya maendeleo. Mie kwa sasa sina nyumba, ila nilinunua kiwanja Moshono Arusha pamoja na Kingine Kidogo maeneo ya Wazo. .
Tunaishi kwenye nyumba ya wife, japo hajawahi kuninyanyasa wala kuringa. Ananipenda, tunapendana, tunaaminiana, ila hili la juzi limebadilisha kabisa mtizamo wangu kwake!
kapime dna mapema mkuuNi jioni, tumepumzika, na mpenzi wangu, mke wangu,katoto ketu ka miaka nane katundu kweli. Basi kanaleta utundu wake, nakafokea, kanazidi, nikakasirika na kukaambia 'we mbona mtudu hivyo, utadhani sio mwanangu?'
duuh, nikawa nimeharibu, wacha mama yake awake, unadhani wa nani. huniamini ee? akaendeleza maneno kibao ya malalamiko, toka juzi amekasirika. Nimemwomba samahani, kakubali, lakini bado kakasirika kwa msemo wangu.
wadau napata mashaka,simwelewi, mbona kakasirika?
Hahahahaha duh ukiona n'tu anajihami basi ujue kuna kitu around basi wewe chunguza n'jomba utabaini ukweli kachukue kapime DNA utabaini pengine kweli sio wako.
Kaka kama haujui kusoma basi natumaini hata picha unaona, mchukue mtoto bila kumwambia mkeo kampime DNA, nakuhakikishia huyo si mwanao na kama akiwa wako basi kuna mwenzio alikusaidia kuweka ubongo na utundu!
Ni jioni, tumepumzika, na mpenzi wangu, mke wangu,katoto ketu ka miaka nane katundu kweli. Basi kanaleta utundu wake, nakafokea, kanazidi, nikakasirika na kukaambia 'we mbona mtudu hivyo, utadhani sio mwanangu?'
duuh, nikawa nimeharibu, wacha mama yake awake, unadhani wa nani. huniamini ee? akaendeleza maneno kibao ya malalamiko, toka juzi amekasirika. Nimemwomba samahani, kakubali, lakini bado kakasirika kwa msemo wangu.
wadau napata mashaka,simwelewi, mbona kakasirika?
mkuu kweli nukigundua nieendelee, hapo sitaweza, atakufa mtu ati! Fikiria mtoto yupo darasa la pili, namlipia pesa nyingi mpaka nachanganyikiwa, alafu nieendelee nae! itakuwa kazi nzito. . .
Mungu saidia tuu awe wangu
Mie sijawahi kabisa kuwaza mambo yakupima. Na ni lazima nikiri nampenda na kumwamini sana! Hilo la kufanana tena unaniongezea shaka, maana toka amezaliwa kila mtu anasema amefanana na mama yake. Hata siku moja sijawahi kumsikia mtuu akisema amefanana na baba yake. . .
Mungu alimwambia Adam "kwa jasho lako utakula" na akamwambia Hawa 'kwa uchungu utazaa".Ushawahi kuingia delivery room/leba ukajionea watoto wanavyokuja duniani? Kama umewahi basi nitakushangaa lakini kama hujawahi hebu jaribu kuingia mtakapo-plan kuleta mtoto mwingine,then utapata majibu ya maswali yako yoooote.
Mkuu mtoto darasa la pili na hakuna mdogo wake,mmmhhh kulikoni Mkuu? ni utashi au matatizo,maana..........mkuu kweli nukigundua nieendelee, hapo sitaweza, atakufa mtu ati! Fikiria mtoto yupo darasa la pili, namlipia pesa nyingi mpaka nachanganyikiwa, alafu nieendelee nae! itakuwa kazi nzito. . .
Mungu saidia tuu awe wangu
Calnde una uhakika mkeo haingii JF,maana akiiona hii thread kisha akaunganisha moja na moja patachimbika mzee!Hebu niambieni wanapimia wapi na vitu gani vinahitajika ili nipate najibu mazuri, ila akijua atantimua home aisee! Mungu wangu . . . .
Calnde una uhakika mkeo haingii JF,maana akiiona hii thread kisha akaunganisha moja na moja patachimbika mzee!