Sijaona baya la kauli za wachezaji wa Morocco baada ya kuwakataa CHAWA kwenye mafanikio yao.

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
1,617
Reaction score
3,405
Hawa jamaa sijaona kama wamekosea kwenye kauli zao, akili ya kulilia dedication kwenye mafanikio yao ndio inaonesha root ya mawazo m’bweteko ya kiAfrica.

Sidhani kama utasikia mholanzi akisema eti mfaransa au muingereza leo anapigana kwa ajili ya ulaya.

Hebu tubadili mtazamo, na sisi wengine tujitutumue tufike levels hizo za Morocco na tuwapongeze kwa effort waliyofanya mpaka walipofikia ki uanamichezo zaidi.

Unakuta jitu limekasirika eti si support Morroco kisa haijataja Africa kwenye ushindi wake,unampangi mtu feeling!?

Ila kama support sijui wishes ndio zinafanya timu zifike mbali, basi angefika Brazil timu ya dunia,……mungu ni wa wote, na kuchukia Morocco kisa hajaku dedicate kama African kwenye mafanikio yake ni uchawi.

So far those kids are born and raised in Europe n America ( Canada), they know nothing about being African but they know everything about being Arab an Muslim especially in European community.

Hivyo vitu viwili vinafanya always kuwa regarded as misfit kwa hizo community ya mzungu hivyo basi vinaweza kuwapa strong force na unity kupigania na Taifa lao as Marocains,Arabs n Muslim kuliko huo u Africa tunaouona.
Hawataki UCHAWA tujitume na sisi.

May the best team win.
 
Hata na Mimi sioni shida

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa nini wamepata nafasi ya kucheza kupitia bara la Africa?? Waarabu wana ligi yao kwa nini wasigombee nafasi kupitia huko?? Usitetee mambo ya ovyo ovyo??
 
Mara ngapi huku huku Africa tunawaita hao jamaa Waarabu?

Jiulize
Je ni waarabu? Ndio
Je ni Muslims? Ndio
Je ni Africans? Ndio

Hawajaukana u Africa ila wameamua kuwa dedicate hao hayo makundi mawili sio kosa, kwani si ni kuchagua tuu…..
Tufanye juhudi na sisi wengine tufike level zao…
 
Well said,nachikiona ni baadhi kuwa na matarajio na timu zao ambazo zimeshapigwa

Ni ujinga mkubwa na ndipo mzizi wa umaskini wa Mu Africa ulipokalia….

Tuna talents nyingi ila mifumo mibovu inaanzia kwenye akili zetu.

Hili suala limenikera sana, ukiingia mitandaoni unakuta watu wanavyolalamika ni ujinga sana.

Na hapa utakuta jana kuna Africans waliochukia baada ya jamaa kutoboa tena.
 
Cha msingi ni kwamba, FIFA wanatambua kuna team moja nusu fainali ya kombe la dunia kutokea Amerika kusini, team mbili kutokea ulaya, na team moja kutokea Africa!

Morocco kufuzu hatua ya nusu fainali, inaweza kuchangia kuongezeka kwa idadi ya team zitakazoshiriki kombe la dunia kutokea Africa, kama ilivyotokea kwa simba kufanya vizuri CAF!

Mengine ni porojo tu za kipuuzi zisizo na mantiki!

Ukiipenda na kuishabikia Morocco, huiongezei kitu. Ukiichukia na kuiponda Morocco, huipunguzii kitu!

Na ukiipamba Morocco kwa sababu za kidini, nitakuuliza hao wengine watatu waliofuzu nusu fainali pia ni wa dini yako?
 
Hawa ni Arab Africans kama walivyo African Americans kwa hiyo wana maamuzi waegemee wapi.Ila kwa kusema wao siyo Waafrika wakati wameenda kwa tiketi ya Bara la Afrika mmh.Mimi na France yenye timu yenye watu weusi kama mimi na siyo ubaguzi NO.
 
Mara ngapi huku huku Africa tunawaita hao jamaa Waarabu?

Jiulize
Je ni waarabu? Ndio
Je ni Muslims? Ndio
Je ni Africans? Ndio

Hawajaukana u Africa ila wameamua kuwa dedicate hao hayo makundi mawili sio kosa, kwani si ni kuchagua tuu…..
Tufanye juhudi na sisi wengine tufike level zao…
Mimi sijakataa kuwa wao ni Arabs or Muslims in reality Sidhani wao kama Africans though they reside in African Continent. Ila iwe iwevyo FIFA inatambua Africa inawakilishwa na timu moja kwenye semi final toka Bara la Africa. Mjadala sasa ufungwe rasmi
 
Back
Top Bottom