Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Hawa jamaa sijaona kama wamekosea kwenye kauli zao, akili ya kulilia dedication kwenye mafanikio yao ndio inaonesha root ya mawazo m’bweteko ya kiAfrica.
Sidhani kama utasikia mholanzi akisema eti mfaransa au muingereza leo anapigana kwa ajili ya ulaya.
Hebu tubadili mtazamo, na sisi wengine tujitutumue tufike levels hizo za Morocco na tuwapongeze kwa effort waliyofanya mpaka walipofikia ki uanamichezo zaidi.
Unakuta jitu limekasirika eti si support Morroco kisa haijataja Africa kwenye ushindi wake,unampangi mtu feeling!?
Ila kama support sijui wishes ndio zinafanya timu zifike mbali, basi angefika Brazil timu ya dunia,……mungu ni wa wote, na kuchukia Morocco kisa hajaku dedicate kama African kwenye mafanikio yake ni uchawi.
So far those kids are born and raised in Europe n America ( Canada), they know nothing about being African but they know everything about being Arab an Muslim especially in European community.
Hivyo vitu viwili vinafanya always kuwa regarded as misfit kwa hizo community ya mzungu hivyo basi vinaweza kuwapa strong force na unity kupigania na Taifa lao as Marocains,Arabs n Muslim kuliko huo u Africa tunaouona.
Hawataki UCHAWA tujitume na sisi.
May the best team win.