Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

Labda alipitia JKT
 
Drill ya askari mwenye silaha aliyekuwa Gadi ni haruhusiwi yaani ni marufuku kuruhusu mtu yeyote kumsogelea uelekeo wake bila kujitambulisha... "hapo hapo ulipo simama jitambulishe!!!" hii ni command yaani hata awe General Mabeyo lazima atii ndo mengine yafuate la sivyo anaruhusiwa kushoot.

Askari upo Gadi mtu mwenye muonekano ule wa Hamza ambaye kwa jamii yetu tulivyo aminishwa watu wa Somalia ni very extremists, askari wetu waliruhusu vipi kusogelewa karibu kiasi cha kushambuliwa.

Hamza alikuwa na Pisto (shotgun) alihitaji kuitoa sehemu alipoweka kama ni kiunoni au wapi God knows, kisha aanze kushoot askari wawili kwa mpigo!!! Tena askari wenye assault Riffle sub machine gun (SMG) kwa haraka na kuwadhuru bila yeye kujeruhiwa!! Huyu Hamza atakuwa ni Ranger marksman mzuri sanaaa!!

Hili tukio lina questions Marks?? nyingi sanaaa.. Wahusika wawe makini katika kutoa taarifa aisee
 
Wamemuua Ili kuficha ushahidi asifunue Siri ya dhuluma
 
Ambaye alitoa tamko kwamba lile ni tukio la kigaidi ana sifa zote muhimu za kuitwa MPUMBAVU
 
Wotd tumeona tukio,angetaka kuua raia basi angewamaliza wengi tu!Pili,ulitaka awashambulie askari lini ili uridhike?Tatu,kwa jinsi polisi walivyokuwa wanarusha risasi hovyo,yawezekana wao ndio wamejeruhi hao watu 6!
Ukiangalia vizuri,askari walirusha risasi hovyo bila kuangalia usalama wa mwenzao ambaye alikuwa amejeruhiwa!
Angalia ile clip wakati hamza amejitokeza kutoka kwenye kibanda!
 
WE NAAAAANI , WE DOGO?? 🙄🙄🙄😃😃
 
Hivi ugaidi mbona unauchambua kiuchwara uchwara ivo? Ama gaidi ni lazima atoke sayari nyingine huko ndio atue Tanzania?

Ama ni lazima liwe kundi kundi hivi (kama tunavyoaminishagwa) na vipi chembe chembe za ugaidi je?

Hakuna definition moja au mbili au tatu za neno ugaidi zinazokubaliwa na kukubalika na jamii ama nchi zote. It is subjective, it is a charged term. it is simply "morally wrong".

Kuna non-political terrorism pia. Officials or state terrorism, criminal terrorism, democracy and domestic terrorism nk nk, ufafanuzi unahitaji muda kiasi.


Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Counter terrorism intelligence haigusi mambo manne tu. It is a very broad topic.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
wamechoka kunyaswanyaswa
 
Na laiti kusingekuwa na technology tungedanganywa kuwa Hamza ni jambazi na uongo Tele. Ninachoamini na silazimishi MTU mwingine aamini Hamza amelipiza kisasi Kwa Polisi,binadamu wanaojiona wakivaa Yale maguo Yao ni miungu.
 
Kuna watu kwa sababu zao mahususi wao uhalifu wowote wa kutumia silaha ili mradi muhusika ni muislam au ana jina linalohisiwa ni la kiislam basi huyo ni gaidi/ugaidi.
 

Huu ni ugaidi sio uhalifu. Ukitoka leo ukaenda kupiga risasi kituo cha Polisi ni ugaidi maana ni kupiga risasi serikali. Haina tofauti na watu kulipua ubalozi. Kama huyu gaidi angekuwa na kisasi na mtu maalamu basi hicho kingekuwa kisasa lakini kwenda na kupiga risasi Polisi bila kuwajua ni ugaidi
 
Sikufurahishwa ya yule police aliyemuua risasi ya kichwa..ilitakiwa leo awe hai tujue in out...hamza nini ulitaka??

Information ni muhimu saana saana, Police wetu waende mafunzo tena.
Sure,wamefanya kusudi kuua ushahidi wa dhulma
 
kwa nini wafuasi wa Mbowe wamefurahia sana kitendo kilicho fanywa na Hamza cha kuuwa Askari Polisi watatu ? na kuona kama kitendo hicho kilicho fanywa na Hamza dhidi ya Polisi ni cha kishujaa?!!!
Jeshi letu lazima litupie macho makali kwa hawa wahuni wachache.
 
Ndio tunarudi palepale ugaidi ni nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…