Sijaona faida yoyote kuacha pombe, nataka niendelee kunywa

Kunywa utusaidie sie wasaidizi wa mama tuwe tunapiga sn hela za kodi asante sn mwananchi mzalendo
 
NINAYE ndugu yangu Mkoa fulani, ni ph holder, anafundisha chuo. alikuwa mnywaji sana wa pombe, mno. mwaka jana wamemkuta na kisukari, yeye mwenyewe ameamua kuacha pombe kwa nguvu na kuna complications zingine za ini nakadhalika. mkewe ni 36yrs. you can imagine kifuatacho. ushauri ni kwamba, acha pombe, haijawahi kumwacha mtu salama, isipokula pesa itakula afya au uhai wako. mark my words.
 
Safi sana hii, kwani habari za sukari kupanda bei zitakuwa hazikuhusu. Maana utakuwa hunywi chai kwani ukinywa unalewa tena
 
Nimeipenda sana hii mkuu, naomba pa kuanzia maana nisipokumywa kesho yake natetemeka sana na naona maruerue mpaka nipige kidogo ndiyo akili inakaa sawa. Aisee nimefikia hatua mbaya sana poor me
 
Nimeipenda sana hii mkuu, naomba pa kuanzia maana nisipokumywa kesho yake natetemeka sana na naona maruerue mpaka nipike kidogo ndiyo akili inakaa sawa. Aisee nimefikia hatua mbaya sana poor t

Nimeipenda sana hii mkuu, naomba pa kuanzia maana nisipokumywa kesho yake natetemeka sana na naona maruerue mpaka nipike kidogo ndiyo akili inakaa sawa. Aisee nimefikia hatua mbaya sana poor me
The most dangerous addiction ni alcohol maana inatabia ya kuua endapo unaacha ndo hatari yake iko hapa tofauti na addiction nyingine......sasa ukifika hospital watakuambia uache ila watakufa dawa mfano diazepam yategemea hali yako

Hizo dawa zitatumika kutuliza madhara ya kuacha pombe au adhabu ya kuacha pombe kama hallucinations na kutetemeka sasa hapa hizo dawa zitakuwa zinakutuliza kwa kipindi cha miezi mitatu

Ukisema uache tu kienyeji tunazika....na hapa huwa wengi hawajui hii siri

Kama ni mlevi kabisa kabisa lazima uache na dawa za msaaada la hivyo ukikaa utaanza kumuona mkeo jini mara unatetemela mara homa mara unaongea pekee ako mara unacheka bila kuchekeshwa inshort unaweza kuwa hata chizi ...so walevi professional acheni pombe ila muone mtaalam wa afya kabla hujaachaa
 
Mkuu hili la hallucinations lilianza kunitokea mpaka nikikaa sehemu nasikia mziki peke yangu ila watu wengine wanasema mbona hakuna mziki wowote. Hii ilitokea baada ya kuamua kuacha pombe ghafla. Ilifikia kipindi naona kuna mtu mbele yangu then anapotea, nikadhani ni mambo ya kishirikina so nikaenda kupiga maji tena na akili ikakaa sawa. Nimepita mtandaoni nikakuta watu wanasema dawa kama Desistal inasaidia lakini sijui wapi naweza kuipata kwani sina abc zozote kuhusu hii dawa. Sasa hivi hata walking balance ni kama nimelewa muda wote, nikahisi labda ni kwasababu ya kula kidogo so nikaanza kula chakula cha kutosha lakini wapi, nikiacha kupiga asubuhi basi sitoboi siku bila kupata lile tetemeko. Msaada please bila kumwona Daktari maana huku nilipo kwa sasa siyo rahisi kulingana na mazingira. Thanks in advance . Waweza nijibu pm au hapa hapa kwa faida ya wote
 
Sasa maini...figo cjui moyo naenda kumringishia nani kaburini?
 
Unaachaje pombe wewe?? Pombe ina faida kubwa sana, walevi tunapeana sana michongo mingi bar, pia unakutana na marafiki wengi na kupeana idea kubwa bila uchoyo wala unafiki.

Kukaa sana nyumbani nako stress,... Eti mwanaume saa kumi jioni tayari upo nyumbani umeshaoga upo tu umekaa si ndo chanzo cha kuanza kugombana kutwa na mke wako??

Mwanaume unatakiwa uchelewe kurudi nyumbani, uwe unarudi usiku.. Ukitoka kazini unapitia kwanza bar kubadilishana mawazo na washkaji, It's kind of funny too. Nitumie Kreti moja mlevi mwenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…