Hakuna nchi yenye ulevi pombe kali duniani kama Urusi tupe data za wanaogua magonjwa ya Ini na figo
Wamasai wakurya wanatumia sana pombe kali wanaita Mbinyo Arusha hakuna historia ya ugonjwa wa Ini na figo.
Tatizo nyie uswahilini chakula chenyewe shida unakunywa pombe kali ya nini.
Arusha ni walaji wazuri wa nyama choma,wakurya kichuri,Urusi walaji wazuri wa nyama ya bata mzinga
Wewe sasa asubuhi chai na andazi mbili unategemea nini?
USHAURI POMBE KALI NI HATARI KWA AFYA YAKO USINYWE KAMA UNA UMASIKINI WA CHAKULA