Wewe hujui mpira bongo hakuna kama mkude.Nilikuwa nagombana sana na jamaa zangu kuhusu Mkude kwa kifupi uwezo wake unashuka kila siku baada ya Fraga kuanza kuchezeshwa ndipo madhaifu ya Mkude yakaonekana kwa kifupi hawezi kukaba zqidi ya kucheza rafu, anapiga mipira ya upande mmoja pia ni mzito kufanya maamuzi anapokuwa na mpira
Wewe ndio hujui mpira inaonekana habari za mpira unazisoma mwanaspoti hata mpirani huendi mpira ni mchezo wa waziWewe hujui mpira bongo hakuna kama mkude.
Nyoni Spana Mkononi.Mkude anacheza tu hiyo namba kwa vile hakuna namna...kwa kifupi yeye mwenyewe haimudu...na mara nyingi magoli mengi tunayofungwa chanzo ni yeye....sio mkabaji mzuri....kwa kesho Erasto Nyoni atafiti vizuri.
Tutawaona leo bila mkudeWewe ndio hujui mpira inaonekana habari za mpira unazisoma mwanaspoti hata mpirani huendi mpira ni mchezo wa wazi
Wewe unajua mpiraMkude kwa refa makini lazima kila mechi apate njano mbili ambazo kimsingi ni red card. Ukabaji wa kuinua mguu Na kukita sio ukabaji smart. Kwa vile simba haishambuliwi Mara nyingi kwa kuwa inamiliki mpira sana ndio maana udhaifu wake hauigharimu sana timu
Sijakuelewa mkuu, yani madhaifu ya mkude yameanza kaonekana baada ya fraga kuanza kuchezeshwa, unajua kama hao wanacheza namba tofauti? Na kama unataka mkude acheze vizuri inabid kuwe na Natural namba 6 ambae ni fraga ambae anampuguzia majukumu ya kukaba kwakuwa hiyo sio kazi yake namba 1, mkude ni holding hivo kazi yake sio kukaba na ndomana anafanya makosa mengi kwenye kukaba.Nilikuwa nagombana sana na jamaa zangu kuhusu Mkude kwa kifupi uwezo wake unashuka kila siku baada ya Fraga kuanza kuchezeshwa ndipo madhaifu ya Mkude yakaonekana kwa kifupi hawezi kukaba zqidi ya kucheza rafu, anapiga mipira ya upande mmoja pia ni mzito kufanya maamuzi anapokuwa na mpira
Mkude alikuwa anachukuliwa kama kiungo mkabaji sio holding midfield, mechi tuliyofungwa na yanga kwa goli la Morison makosa yalianzia kwake nq pia alifanya makosa mengi zaidi lakini baada ya ligi kuanza kutokana na janga la korona alipata majeruhi hivyo Fraga akapata nafasi kucheza. Uwezo aliouonyesha Fraga uliwafimbua macho wengi kwa sababu sio tu alikuwa akikaba na kuzuia njia bali alikuwa anafunga na kukaa sehemu sahihi muda wote hapo ndio wengi wakagundua Mkude alikuwa over rated.Sijakuelewa mkuu, yani madhaifu ya mkude yameanza kaonekana baada ya fraga kuanza kuchezeshwa, unajua kama hao wanacheza namba tofauti? Na kama unataka mkude acheze vizuri inabid kuwe na Natural namba 6 ambae ni fraga ambae anampuguzia majukumu ya kukaba kwakuwa hiyo sio kazi yake namba 1, mkude ni holding hivo kazi yake sio kukaba na ndomana anafanya makosa mengi kwenye kukaba.
Kiungo mkabaji ina tegemeana na kocha anataka nini mkuu kiuongo mkabaji sio tu kukaba unaweza tumika kuunganisha beki na washambuliaji.Mkude alikuwa anachukuliwa kama kiungo mkabaji sio holding midfield, mechi tuliyofungwa na yanga kwa goli la Morison makosa yalianzia kwake nq pia alifanya makosa mengi zaidi lakini baada ya ligi kuanza kutokana na janga la korona alipata majeruhi hivyo Fraga akapata nafasi kucheza. Uwezo aliouonyesha Fraga uliwafimbua macho wengi kwa sababu sio tu alikuwa akikaba na kuzuia njia bali alikuwa anafunga na kukaa sehemu sahihi muda wote hapo ndio wengi wakagundua Mkude alikuwa over rated.
Mapungufu ya Mkude ni kushindwa kukaa sehemu sahihi, kushindwa kufanya maamuzi, kushindwa kukaba, kurudisha mipira mingi nyuma badala ya kupeleka mipira mbele hawezi kubadilisha uelekeo wa mpira ni rahisi kudhibitiwa
Anaumwa nini ?
Kuna uzembe sana katika kamati ya Usajiri ya Simba.
Inasajiri wachezaji wa kigeni na wanaishia kula bata tu mtaaani badala ya kucheza mpira
Wanajulikana
Acheni kujaza machezaji mazeeNilikuwa nagombana sana na jamaa zangu kuhusu Mkude kwa kifupi uwezo wake unashuka kila siku baada ya Fraga kuanza kuchezeshwa ndipo madhaifu ya Mkude yakaonekana kwa kifupi hawezi kukaba zqidi ya kucheza rafu, anapiga mipira ya upande mmoja pia ni mzito kufanya maamuzi anapokuwa na mpira
Mkuu mkude anacheza pamoja na fraga, na siku ya derby ni kweli alisababisha faul iliyozaa goli ila Haina maana kwamba alikuwa anacheza kiungo mkabaji, siku ile kiungo mkabaji alikuwa ni mzamiru, sikatai mkude sio mzuri kwenye kukaba ila sishangai kwakuwa sio kazi yake namba 1 ispokuwa ni ziada tu, mkude acheze mbele ya mtu kama fraga au kotei ndo utamuonea rahaMkude alikuwa anachukuliwa kama kiungo mkabaji sio holding midfield, mechi tuliyofungwa na yanga kwa goli la Morison makosa yalianzia kwake nq pia alifanya makosa mengi zaidi lakini baada ya ligi kuanza kutokana na janga la korona alipata majeruhi hivyo Fraga akapata nafasi kucheza. Uwezo aliouonyesha Fraga uliwafimbua macho wengi kwa sababu sio tu alikuwa akikaba na kuzuia njia bali alikuwa anafunga na kukaa sehemu sahihi muda wote hapo ndio wengi wakagundua Mkude alikuwa over rated.
Mapungufu ya Mkude ni kushindwa kukaa sehemu sahihi, kushindwa kufanya maamuzi, kushindwa kukaba, kurudisha mipira mingi nyuma badala ya kupeleka mipira mbele hawezi kubadilisha uelekeo wa mpira ni rahisi kudhibitiwa
Na hapo ndiyo watu wengi hawajuiSijakuelewa mkuu, yani madhaifu ya mkude yameanza kaonekana baada ya fraga kuanza kuchezeshwa, unajua kama hao wanacheza namba tofauti? Na kama unataka mkude acheze vizuri inabid kuwe na Natural namba 6 ambae ni fraga ambae anampuguzia majukumu ya kukaba kwakuwa hiyo sio kazi yake namba 1, mkude ni holding hivo kazi yake sio kukaba na ndomana anafanya makosa mengi kwenye kukaba.
Uliyosema yote ni sahihiMkuu mkude anacheza pamoja na fraga, na siku ya derby ni kweli alisababisha faul iliyozaa goli ila Haina maana kwamba alikuwa anacheza kiungo mkabaji, siku ile kiungo mkabaji alikuwa ni mzamiru, sikatai mkude sio mzuri kwenye kukaba ila sishangai kwakuwa sio kazi yake namba 1 ispokuwa ni ziada tu, mkude acheze mbele ya mtu kama fraga au kotei ndo utamuonea raha
Ila akicheza na mzamiru mambo yanakuwa tafrani maana mzamiru anakaba sana ila anapoteza sana mipira hivo kupelekea mkude kuvaa jukumu la kuanza kukaba ilhali hayupo vizuri kwenye discipline ya ukabaji ndo hapo anakuwa kwenye hatari ya kupata njano mara kwa mara, ila kama kuna 6 mzuri kazi yake ni kusambaza mipira kwa mawing back wanapo overlap pamoja na viungo maana ni mzuri sana kwa kupeleka timu mbele kwakuwa anapiga long range za accuracy sana
Una cha kusema sasa baada ya Simba kumpiga MTU 4-0??Wadau kesho Simba inacheza na Platinum kufuzu hatua ya makundi mimi binafsi kama mpenzi wa Simba FC cjaona mbadala wa Mkude ambaye huenda asicheze kutokana na madai yake ya utovu wa nidhamu.
Naomba kuwasilisha wakuu #SIMBA NGUVU MOJA
Majibu tumeyaonaWadau kesho Simba inacheza na Platinum kufuzu hatua ya makundi mimi binafsi kama mpenzi wa Simba FC cjaona mbadala wa Mkude ambaye huenda asicheze kutokana na madai yake ya utovu wa nidhamu.
Naomba kuwasilisha wakuu #SIMBA NGUVU MOJA
Bila nidhamu hakuna mpiraMpira sio mafunzo ya upadre boss.