Sijaona mbadala wa Mkude Simba VS Platinum

kukumsela

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
725
Reaction score
917
Wadau kesho Simba inacheza na Platinum kufuzu hatua ya makundi mimi binafsi kama mpenzi wa Simba FC cjaona mbadala wa Mkude ambaye huenda asicheze kutokana na madai yake ya utovu wa nidhamu.

Naomba kuwasilisha wakuu #SIMBA NGUVU MOJA
 
Mkude kwa refa makini lazima kila mechi apate njano mbili ambazo kimsingi ni red card. Ukabaji wa kuinua mguu Na kukita sio ukabaji smart. Kwa vile simba haishambuliwi Mara nyingi kwa kuwa inamiliki mpira sana ndio maana udhaifu wake hauigharimu sana timu
 
Mkude anacheza tu hiyo namba kwa vile hakuna namna...kwa kifupi yeye mwenyewe haimudu...na mara nyingi magoli mengi tunayofungwa chanzo ni yeye....sio mkabaji mzuri....kwa kesho Erasto Nyoni atafiti vizuri.
 
Wadau kesho Simba inacheza na Platinum kufuzu hatua ya makundi mimi binafsi kama mpenzi wa Simba FC cjaona mbadala wa Mkude ambaye huenda asicheze kutokana na madai yake ya utovu wa nidhamu.

Naomba kuwasilisha wakuu #SIMBA NGUVU MOJA
Mi nikajua Mkude Simba wa Moro goro[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Nadhani UZEMBE wa uongozi wa Simba Huenda Ukawagharimu.

kitendo cha kusajili Magarasa Huenda kikaja kuicost simba.

kukosa kibali cha LWANGA hadi leo ni UPUMBAVU UKIO KOMAA.

Kapombe ni mzuri sana akicheza kama kiungo Mkabaji ama mchezeshaji anamzidi sana Mkude. Nyoni pia ni mzuri sana japo yupo slow sana na mpora.

KILA LAKHERI SIMBA 3. KWA O
 
Wadau kesho Simba inacheza na Platinum kufuzu hatua ya makundi mimi binafsi kama mpenzi wa Simba FC cjaona mbadala wa Mkude ambaye huenda asicheze kutokana na madai yake ya utovu wa nidhamu.

Naomba kuwasilisha wakuu #SIMBA NGUVU MOJA
Manara si ameshasema kesi ya mkude wameshaitatua, naona atacheza bila shaka [emoji1690]
 
Mkude anacheza tu hiyo namba kwa vile hakuna namna...kwa kifupi yeye mwenyewe haimudu...na mara nyingi magoli mengi tunayofungwa chanzo ni yeye....sio mkabaji mzuri....kwa kesho Erasto Nyoni atafiti vizuri.
Kwani wakati Platinum wanapata goal nyoni hakuwepo?
 
Wadau kesho Simba inacheza na Platinum kufuzu hatua ya makundi mimi binafsi kama mpenzi wa Simba FC cjaona mbadala wa Mkude ambaye huenda asicheze kutokana na madai yake ya utovu wa nidhamu.

Naomba kuwasilisha wakuu #SIMBA NGUVU MOJA
Nyoni anatosha
 
Back
Top Bottom