Sijaona Mchango wa Balozi Hamphrey Polepole kwa Taifa kama alivyotuaminisha hapo Mwanzo

Kwa nini aliacha kufundisha shule ya uongozi??
 
watu wa pwani.wazee.wa.misuli.na.harusi wamemficha wanajua.moto wake . Yawezekana.wanajua anapenda warembo basi wamempeleka cubano akajizeeshe.zaidi.

#Kataawahuni sijui ilikiwaje bosi.wake.alipokuwa.Januzaj walipeana briefings vizuri kweli
 
Sasa Malawi Kuna nn . Labda biashara ya samaki wakavu kama ilivyo Kwa Burundi na Rwanda . Yeye anakula zake maisha muda usogee tu maana alipelekwa uko baada ya kuanza kutoka lecture za shule ya uongozi kelele zikaisha
 
Kwani umewahi kuona mchango wa Balozi yupi!? Yaani Balozi afungue fursa za ajira? Kweli!!???
 

Sio kila nafasi ya Uongozi ya mtu flan basi kila mtu ataona manufaa yake,

Nafasi zingine ni Aina flan ya watu Tu ndio wanaweza kuona mtu flan analeta tija kwenye nafasi yake

Mfano katibu mkuu kiongozi kuna chochote ambacho wewe unaweza kusema anakifanya?

So nafasi zingine za uteuzi zinasaidia Uongozi kufanya mambo flan ambayo yanakupa faida wewe Moja Kwa moja
 
Mkuu ni yeye alikuwa anatuahidi....pia nafasi ya umma kwanini umma usione unachofanya?
 
Kwani umewahi kuona mchango wa Balozi yupi!? Yaani Balozi afungue fursa za ajira? Kweli!!???
Balozi polepole hakupaswa kuwa kama hao mabalozi wengine wasio na mchango.
 
h humphrey?
P polepole?
 
Kwani aliahidi nini ambacho hajatekeleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…