Sijaona mkare (4 girls)

only if ceteris paribus...
my point is you can study and become rich...thats why wahenga said mgaa gaa na upwa hali wali mkavu.. swallow my words too
issue za magari zikaushie.. yasikuumize saa kwani kama unafikiri bongo watu ni maskini basi ni wewe tu na ndugu zako
 
acha mwenzako aseme, halafu unataka kumsaidia mtu ambaye ushamponda sana naamini hata nafsi hapo inakusuta!
sio lazima akubali msaada wangu wapo wengi sana wa aina yake.. ok ngoja niishie hapa naona wengi wataanza kusema kuwa nanata au nina madharau.
 
wangapi wamesoma na si matajiri? Nimekupa mf. wa plato ili ujue huwez kumlazimisha kila mtu awe msomi wa chuo kikuu. Hv kabla hujapost unafikiria kweli?
 
hizo ni pumba zako halafu ungenijua wala usingeandika ulichoandika me ni masikini eenh wala hujakosea.
 
hahahhhah .. mimi kiswahili ndio changu na niko mbele vile vile nikitaka kupiga kimombo napiga hizo hapo ni typing errors.. najua kwa nini unaniponda nani kakuambia uolewe haraka?
Stupidity doesn‘t have a price tag so I‘m not surprised that YOU can afford it.
 
hizo ni pumba zako halafu ungenijua wala usingeandika ulichoandika. Pole sana.
achana na mimi .. unafikiri kuwa sikujui? nddio maana umajifanya kuvchukua nafasi ya mshkaji ili uanze kubishana na mimi.. basi piga simu akuoe basi.. achana na mimi sibishani na wewe na hii thread hujaianzisha wewe.. kaanzishe ya kwako.wtf
 
sio lazima akubali msaada wangu wapo wengi sana wa aina yake.. ok ngoja niishie hapa naona wengi wataanza kusema kuwa nanata au nina madharau.
Na kweli unadharau na atakaesema au kudhani hivyo atakua hajakosea.Au kumwambia mtu utaishia kuoa housegal sio dharau hiyo?!
 
achana na mimi .. unafikiri kuwa sikujui? nddio maana umajifanya kuvchukua nafasi ya mshkaji ili uanze kubishana na mimi.. basi piga simu akuoe basi.. achana na mimi sibishani na wewe na hii thread hujaianzisha wewe.. kaanzishe ya kwako.wtf
haaaah haaaah haaah hiki ulichoandika ndio point yako?!''Kweli kosa mali upate akili'' wahenga walisema hvyo.
 
Na kweli unadharau na atakaesema au kudhani hivyo atakua hajakosea.Au kumwambia mtu utaishia kuoa housegal sio dharau hiyo?!
wew e kwa nini unamshauri mshkaji aoe kweney umri mdogo kama huu? unajua kuwa jamaa alipata div2 form six? akajiunga na chuo then akkaacah chuo? wewe unafikiri ni hakai hii? unadhani jamaa anastahili kuacha chuo? ahana mtu wa kumshauri sasa kakaa nyumbani mwenyewe kaona kuwa yuko lonely ameona kuwa njia nzuri ni kuoa .. this is what you want? najua wewe ni mtoto wa mkubwa sio kama sisi maskini... ndio maana huna uchungu na jamaa unataka aoe ili ukoo wao waendelee kuwa maskini ili muendelee kututawala .. nakujua sana na jamaa hapa msimamo ni kuwa haoi na itabidi akapige jkitabu .. mimi nitakutana naye ana kwa ana manake naona mafisadi hamna huruma na watu wa daraja la chini
 
wewe hebu muogope Mungu, mm nimekua fisadi tena??Mm nilichokataa ni wewe kumponda mshkaji na kumwambia atashia kuoa housegal na ukaweka pic za magari kama kumponda yeye kwa kuwa kaweka pic ya cheti chake.Sikumshauri aoe bt nimem msuport kutafuta mwenza wa kweli na ujasiri alio uonyesha hapa.Sasa kwa kuwa nimekubana kwa dharau zako hapa na huna pakutokea ndio unazusha mm ni fisadi mara oooh unanijua, mara unataka kumsaidia. Kwani mm nimekataa usimsaidie?nilichopinga ni wewe kumponda, hilo tu baasi.Nyeupe si nyeusi kaka dah.Gud nyt man, tumepishana kimtazamo tu so usijenge Chuki. Stay blessed.
 
mimi sitaki jamaa ajianike hapa ndio maana nikataka kumuonyesha kuwa anao muda na anatakiwa ayasake mapesa through elimu... u got me? ok tuko pamoja basi mtu wangu hii ndio JF tunawekana sawa sema njia za kuwekana sawa ndio hutofautiana tu.na hizo sio pic hayo ni magari yangu ndio maana naumia jamaa kaacha shule anataka kuoa na wewe unashadadia tu hapa.. wewe ni mtoto wa fisadi hijawahi ku fight wewe ninavyokuona ndio maana unashangilia jamaa anavyoingia machaka.. mwanzo wa thread nilijua kuwa jamaa ni mjanja lakini jinsi thread ilivyokuwa inaendelea ndio nikajua kuwa jamaa yupo serious..anda i hate mambo yako ya kupiga makofi na kushangilia hapa let the guy go back to school.its seems that the guy is bright..let him catch education first
 
nilipo kuwa shule niliambiwa kuwa mtu masikini ni yule ambaye hawezi kumudu gharama za social service and basic needs in his society. na hisi kama ningelikuwa masikini kwanza nisingeweza kukaa online 15 hrs daily , Nisingeweza kupanga nisingeweza kununua blue band , kopo kubwa la cofee ambayo kila siku jioni nakunywa , nisingeweza kununua sofa seat iliyoko chumbani kwangu kwa ajili ya wageni wangu , nisingeweza kwenda dukani kutoa advance ya Pioneer Home theater music system ambayo tayari nimesha itolea advance and keep in mind it is made in UK. sina degree ila mie sio masikini. Jay Z sina uhakika kama ana degree but he has beyounce and u knw why.4ME I DONT NEED 2MUCH, I JUST NEED SM 1 TO LOVE ME.
 
Ivuga sio napiga makofi dogo aoe hapana, mm ninachokataa ni watu kumponda mshkaji kiasi kwamba inakua too much.Then sion tatizo kama jamaa mwenyewe kaona anachofanya ni sahihi.Dogo ameajiriwa na hatujui plan yake after 10 years so hatuwez kumlaumu kwa anachofanya.Mimi sio mtoto wa fisadi na unakosea kusema sijawah ku fight mbona na struggle daily man.Naamini dogo nae atatoka tu 1 day,Life z how u make it.
 
they end in a way of shifting beautiful name from the woman u loved to the car u bought.
 
Una Makovu mno, huwezi kupata demu, llabda nenda Kona Bar pale Africa Sana, karibu na Mwenge Dar, wakati wa usiku
 
one love one love mpatanishi.
 
Saint Ivuga kwa kuwa unatafuta umaarufu kupitia post yangu basi nimefurahiswa sana kwa hilo na nimekuweka na wewe kwenye post yangu li uweze kuwa alwatani.
sitafuti umaarufu mimi ni maarufu toka long time.. Kwa nini uliacha shule kwa kisingizio kuwa ulikuwa unasinzia darasani? Upo tayari kurudi darasani kama ukipewa msaada wa kufanya hivyo?
 
they end in a way of shifting beautiful name from the woman u loved to the car u bought.
hahahaha!! You cant generalise this one. Everybody has his)her own way of life.. But school is for all pples under the sun. Go back to school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…