Sijaona mkare (4 girls)

Sijaona mkare (4 girls)

yap hata mm nataka ujue mm ni mtu wa aina gani 4 sure umenikera ulipodhalilisha wanawake na kusema mnapenda pesa.Kauli kama hiyo ilitakiwa ailete mwanaume then wewe kama mdada ndio upinge bt cha ajabu wewe tena ndo unaleta kauli za kujidhalilisha kama hizo.Acha kujidhalilisha mdada na kupenda pesa mdada lol.Madem wangapi wanapesa na wameolewa na wanaume masikini tu.Au ma men wangapi wanapesa na wanamegewa madem zako na wanaume wa vijiweni tu ambao hawana mali.Japo ckujui bt nishajua wewe ni mdada wa aina gani.Count my words.
acha kusumbua watu hapa.. wewe hupendi pesa?? watu wote duniani wanapenda pesa .. nani hapendi?? mlete hapa ashuhudie kuwa hapendi na hatumii pesa.usitake kumchanganya huyu dada yetu hapa
 
hayo yote mlio sema ni sawa , Lizzy nimeweka picha sababu hata fcbk ni mtandao wa kijamii ila nimeweka picha zangu then am na sioni aibu mtu yoyote kujua kwamba natafuta mchumba sabau its my life , ilo suala la umri nimesema am aged 23 full stop na basi.na acheni kuwa wawekea watu mentality za baa. kama una nia ni suala la kupiga simu then 2nadait na kama ukinona nafanana na babu yako basi u knw wht to do coz i did not say nataka blinded person ambaye hawezi kuona how i look like.

Mkuu usiajli mtaka cha uvunguni lazima ainame....UTAPATA tu...JF the home of solution mzee
 
hahah hasara gani?? angalia mapoint aliyokupa hapo chini .. na hajakutukana hata kwenye post yake moja ila wewe umempa shame on you kama mia moja hivi nakuangalia tu .. cheki hapo down sehemu nilizopigia mistari..... hapo kwenye red ndio kakuua kabisa ... im proud huyu dada ana akili nyingi and she is genious more than you hundreds times
Kwa men anaejali pesa kama wewe utaona kaonge points bt kwa wenye akili tunaona hakuna kitu.Hujanijibu swali langu ma men wangapi wenye pesa na wanamegewa madem zako na tena na washkaji ambao hawana pesa? Kama pesa ndio mapenz kwa nini hilo hutokea?Unaweza ukawa na pesa na bado ukawa boya tu.N.b. Acha kumkatisha tamaa huyu kijana ameweka cv zake hapa na mpaka picha na ameona ni sahihi kufanya hivyo na wewe kwa akili yako umeona uweke magari hapa ndio ujanja. Haaah haaah haaah
 
umeshaingia kwenye mstari tuko pamoja
hapo kwenye mstari + mapesa mengi

Lakini hujajibu swali....you are dancing around the issue. Elimu nzuri ni ipi? Nyumba nzuri ni ipi ya aina gani? Gari zuri ni lipi? Pesa nyingi ni ipi? Pesa nyingi..ukimaanisha Oprah's au Sergey Brin's money, au tunaongelea Ivuga's money?
 
Alafu jamani kama mtu kimombo hakipandi piga tu mistari ya kikwetu...hamna haja ya kujiabisha na I loves my sisters and the likes.
 
,mie kusema hivyo ni utani tuu kama wewe umechukulia kweli shaurilo....huyo Ivuga simjui na hapo inawezekana ni magari yake au siyo na pia hunijui...inawezekana mie ni kibibi nishapita huko siku nyiingi....lastly maneno yako ya mitaani hayanikoseshi usingizi mie,mara ooh demu,malaya etc if anything hayanisumbui sana sana unajionesha wewe ni mtu wa aina gani....
we dada hayo mambo yabgu wewe huoni p. numbers za hapa hapa bongo? au hadi nikumwagie mapicha zaidi ili muniite fisadi? izo zinatosha ila msidanganywe tu kirahisi na real luv then muende kuteseka ulimwengu wa siku hizi sio wa kuishi kimasikini
 
acha kusumbua watu hapa.. wewe hupendi pesa?? watu wote duniani wanapennda pesa .. nani hapendi?? mlete hapa ashuhudie kuwa hapendi na hatumii pesa.uitake kumchanganya huyu dada yetu hapa
Unamtetea kwa kuwa kashaku pm nini!Mana baada kuona magari yako akapagawa!Anyway huyu dada me nampa ukweli kama ninaokupa wewe!Acheni dhana kwa mapenz ni pesa jaman.Wangapi hawana pesa na wana watoto wenye hadhi tu i mean wakali na wenye elimu,n.kbt kwa wewe ulivyo zero unaona huyu mshkaji hapa kwa kuwa hana pesa au magari wewe basi ukasema ataishia kuoa housegal!We kweli ZERO dah
 
Alafu jamani kama mtu kimombo hakipandi piga tu mistari ya kikwetu...hamna haja ya kujiabisha na I loves my sisters and the likes.
hahahhhah .. mimi kiswahili ndio changu na niko mbele vile vile nikitaka kupiga kimombo napiga hizo hapo ni typing errors.. najua kwa nini unaniponda nani kakuambia uolewe haraka?
 
Kwa men anaejali pesa kama wewe utaona kaonge points bt kwa wenye akili tunaona hakuna kitu.Hujanijibu swali langu ma men wangapi wenye pesa na wanamegewa madem zako na tena na washkaji ambao hawana pesa? Kama pesa ndio mapenz kwa nini hilo hutokea?Unaweza ukawa na pesa na bado ukawa boya tu.N.b. Acha kumkatisha tamaa huyu kijana ameweka cv zake hapa na mpaka picha na ameona ni sahihi kufanya hivyo na wewe kwa akili yako umeona uweke magari hapa ndio ujanja. Haaah haaah haaah
hao wanaomegewa ni shauri yao huko mbona kuna mashoga wenye pesa na wanamegwa? mimi nawmshauri dogo apige kitabu aachane na mambo ya kuoa sasa hivi.. dogo anasema kuwa aliacha chuo kwa sababu alikuwa analala darasani .. na wewe unakuja hapa unampigia makofi.. unampenda kweli?
 
Nasikia Ivuga anawapenda sana hawa "Ma easy go" to the extent kwamba huwa analiachia li Ferrari lake li do the talking
 
Alafu jamani kama mtu kimombo hakipandi piga tu mistari ya kikwetu...hamna haja ya kujiabisha na I loves my sisters and the likes.
haaah haah okay watakua wekusoma.Bt Lizzy huyu mdada mwenzenu kawadhalilisha kusema wadada wote mnapenda pesa.Je na wewe unakubali mapenz ni pesa?Je bila pesa hakuna mpenzi/ men hawez kupendwa kwa kuwa hana pesa?
 
Lakini hujajibu swali....you are dancing around the issue. Elimu nzuri ni ipi? Nyumba nzuri ni ipi ya aina gani? Gari zuri ni lipi? Pesa nyingi ni ipi? Pesa nyingi..ukimaanisha Oprah's au Sergey Brin's money, au tunaongelea Ivuga's money?
unanipotezea mda na wewe tu hapa..
 
Nasikia Ivuga anawapenda sana hawa "Ma easy go" to the extent kwamba huwa analiachia li Ferrari lake li do the talking
oya kausha man.. tupo kwenye mikakati ya kumsaidia dogo arudi chuo.. nataka nim pm niangalie jinsi ya kumsaidia .. so acha ushabiki.. dogo sio umri wa kuoa sasa hivi ni umri wa kupiga kitabu
 
haaah haah okay watakua wekusoma.Bt Lizzy huyu mdada mwenzenu kawadhalilisha kusema wadada wote mnapenda pesa.Je na wewe unakubali mapenz ni pesa?Je bila pesa hakuna mpenzi/ men hawez kupendwa kwa kuwa hana pesa?
we nawe ushapata chorus..
 
hao wanaomegewa ni shauri yao huko mbona kuna mashoga wenye pesa na wanamegwa? mimi nawmshauri dogo apige kitabu aachane na mambo ya kuoa sasa hivi.. dogo anasema kuwa aliacha chuo kwa sababu alikuwa analala darasani .. na wewe unakuja hapa unampigia makofi.. unampenda kweli?
Ungemshauri kwa ustaarabu tu sasa wewe kuweka picha za magari hapa ulitaka iweje? Je makofi upigiwe wewe?Mm nimekufahamisha tu then si kila mtu lazima asome ili apate maisha bora acha dhana potofu.According to Platothere are three group of peoples.1.Gold2.iron3.silverso u cant force iron awe gold au silver iwe iron au gold iwe silver.Count my words.
 
oya kausha man.. tupo kwenye mikakati ya kumsaidia dogo arudi chuo.. nataka nim pm niangalie jinsi ya kumsaidia .. so acha ushabiki.. dogo sio umri wa kuoa sasa hivi ni umri wa kupiga kitabu
acha mwenzako aseme, halafu unataka kumsaidia mtu ambaye ushamponda sana naamini hata nafsi hapo inakusuta!
 
haaah haah okay watakua wekusoma.Bt Lizzy huyu mdada mwenzenu kawadhalilisha kusema wadada wote mnapenda pesa.Je na wewe unakubali mapenz ni pesa?Je bila pesa hakuna mpenzi/ men hawez kupendwa kwa kuwa hana pesa?

Mpatanishi nikipata nafasi ntakutafutia link maana tulishaliongelea hili la mapenzi na mapesa kwa marefu na mapana.

Binafsi pesa za baba/mama/mjomba/shangazi/kaka/dada sizihesabii kama zangu achilia mbali za mwanaume ambae mahusiano yetu hayatakuja na guarantee.Mambo sijui ya financial stability najitengenezea ya kwangu badala ya kumtegemea mwanaume mpaka hata ukitolewa ngeu huna ujanja wa kuondoka sababu ya njaa na utegemezi.

Na kwa aliyosema mdada hapo yanaweza yakamzalilisha yeye na sio mimi wala wengine wasiokubaliana nae maana yeye sio muwakilishi wetu so nasoma na kujichekea tu.
 
Back
Top Bottom