Sijaona mkare (4 girls)

Sijaona mkare (4 girls)

wee nitusi ila hakuna mdada yuko tayari kukaa na mtu ambaye hana pesa,umasikini ni mzigo au hujui hilo???eti real luv,wee real luv ukiiona utaijua????UNAIPIMAJE??? kisa mtu ni maskini then ana real luv eeeh???endelea kujidanganya!ingekuwa hivyo pale muhimbili wanaopata ukimwi wangekuwa matajiri peke yake..........................mtu akiwa funancially stable mwanamke inakupa confidence hata mkizaa mtoto hatapata shida,au hata wewe mwenyewe mwanamke ukipatwa na tatizo kuna mtu wa kukusaidia............................meza tema ila ukweli ndio huo wanawake tunataka mtu atakayetupa financial security!
cjakutukana kumponda mshkaji kwa kuwa hana pesa, umefanya kitu kibaya. Na kwa nn useme wanawake wote wanapenda pesa?futa kauli yako unadhalilisha wadada wenzako? Mwanamke apendae pesa ni malaya tu sina neno lingine la kumkinganisha nalo.Then kwa nn ume copy msg yangu nusu tu?Ungemalizia na kumeza hizo pini pale chini.Acha kujidhalilisha bila aibu unadai wanawake mnapenda pesa duh!Nakuuliza tena men mwenye pesa,magari n.k then ni muhuni analala na machangu na men masiki hana pesa bt ana mapenz ya kweli,muaminifu na mwenye heshima ww unachagua yupi?
 
am not looking for any man,that was just advise,the problem with you....you dont digest what is being said....unachukulia tunaokushauri vinginevyo kama haters....hili ni tatizo...be realistic my brother utasearch weee usimpate huyo mtu,ongeza CV lako uone kama hawatajipendekeza wenyewe? wala hutakuwa na shida ya kumtafuta humu mtandaoni watajipendekeza wenyewe...shaurilo!
mawazo ya ajabu sana haya! Hv ww unatafuta bwana kwa kuangalia mali?4 sure wewe huna mapenzi na wadada wa type yako hawafai kabisa.Nimepitia post zako hapa na nimeona jinsi ulivyo yani upo after money na Cv ya mtu.Ok nakujulisha kuwa usikute huyu jamaa hapa ni milionea bt kajishusha hapa ili apande mpenz wa kweli na si kama ww mpenz wa pesa.Kuna movie moja ya Ray na wolper ungeitazama ungepata funzo kubwa sana kuwa mtu anaweza ku act apate kitu halisi coz kwa vyovyote vile bila kujifanya masikini lazima wadada type yako watakuja nakujifanya mnampenda kumbe mna deal na pesa tu.Ona aibu japo kidogo. Shame on u.
 
katengeneze mapesa wewe acha kulalama hapa...kama mapesa sio kitu KWA nini hujaenda kumuoa jlo? au rihana
 
ndio manake..na nyumba nzuri pia na elimu nzuri.. au wewe kipimo chako ni nini?

Kwa hiyo mademu unaowapata ndio wanazimikia hivi ulivyovitaja? I mean hebu i describe hiyo elimu nzuri..do you mean Masters level, PhD level, do you mean kusoma Cornell, Oxford, Mzumbe, SUA? And how do you describe nyumba nzuri? You see where I am going? Point yangu ni kwamba sio kila mtu ana view ya maendeleo aliyenayo mtu mmoja. People are different. Wewe mtazamo wako wa maendeleo ni tofauti na mtazamo wangu. Kwa mfano maendeleo kwangu yanaweza kuwa ni ku retire na kuwa financially free nikiwa na miaka 45 na ku travel around the world. Mtu mwingine maendeleo ni kuweka umeme kwenye nyumba yake..
 
Kwa hiyo mademu unaowapata ndio wanazimikia hivi ulivyovitaja?
nani kakuambia kuwa mimi huwa natafutaga mademu? nimeongea lini hii kitu? mimi sitafuti mademu bwana .. au unajaribu kueleza characters zako hapa?
 
sio fujo dogo naona anaendelea kuingia machaka .. nimeona nimpe swagga langu moja tu ili anyamzave asiendelee kutujazia saver hapa.. yeye anatuletea mipicha amepiga kwenye mawe huko? akiletewa picha za mbele si atakaa chini? ok this hapo down ni bongo dsm...na namshauri dogo kwa umri wake anatakiwa bado apige kitabu kama mimi siwezi kumpa dada yangu kwa sababu atamlaza njaa ... i dont see anything interesting from him .. now days mapenzi bila pesa sio kitu dogo should know this na wewe mtu wangu afro d unavyo mshadadia dogo ndio utasababisha atuwekee na picha za kijijini kwa bibi yake hapa na unampoteza mwenzako ujue .. tell him the truth.. he sholud make money like cash money ..nothing impossible under the sun.wa dada nimeweka picha za skani kwangu ila sitaki m ni pm mm najaribu tu kumuweka dogo sawa ok?
Ivuga ni sawa kumshauri asome Lakini si kumkatisha taama ya Kumpata wake sasa.. Usimdharau mtu hatakamaHana mikono..Na hayo magari si kitu kwa kweli.. Kuna wengine wana umri miaka 23 Na wana magari zaidi ya hayo... Samahani Ivuga ila ambao wanazo hawaji Onyeshi ....
 
umeona dadayangu ee.. mimi sina kinyongo naye .. im just trying to put him kwenye reli.. sasa hivi anataka kuweka picha za mapazia yake.. nani hawezi kununua mapazia? hivi unataka kupata mwanamke kwa kuweka picha za mapazia? bado naendelea kumsisitizia dogo akapige kitabu.. anadai aliacha chuo kwa sababu alikuwa analala darasani..he?? sio bangi hizi kweli? mola hamtupi mja wake.. now days things have changed especially hapo nyumbani tz. guys wanaopingana na mimi ni kweli hawajaelewa intention yangu.
ivuga co kwamba hatuelewi intention yako hapana bt nilichokupinga ni kwamba una fikra potofu kwamba wanawake wote wanapenda pesa!Hapo nakataa man always luv z unique na kamwe usidhani kumpata ww msichana ni kuwa na gari je hao wasichana waliozaliwa tu tayari wana magari na wamekua na magari utawadanganya nini? Hebu kuwa mjanja man unaweza kuwa na pesa na bado ukawa boya tu.Wangapi wanapesa wanamehewa mademu wao.Kama huamini nionyeshe dem wako then nipe 30 days tu kama sitakuita geto ushuhudie nikimpekenyua.Narudia tena unaweza kuwa na magari na bado ukawa boya tu na masela hawana kitu wakakugongea demu wako.Kubali ukatae huo ndio ukweli.
 
Hivi kwan huyu mkaka hajapata mchumba mpaka leo?
 
cjakutukana kumponda mshkaji kwa kuwa hana pesa, umefanya kitu kibaya. Na kwa nn useme wanawake wote wanapenda pesa?futa kauli yako unadhalilisha wadada wenzako? Mwanamke apendae pesa ni malaya tu sina neno lingine la kumkinganisha nalo.Then kwa nn ume copy msg yangu nusu tu?Ungemalizia na kumeza hizo pini pale chini.Acha kujidhalilisha bila aibu unadai wanawake mnapenda pesa duh!Nakuuliza tena men mwenye pesa,magari n.k then ni muhuni analala na machangu na men masiki hana pesa bt ana mapenz ya kweli,muaminifu na mwenye heshima ww unachagua yupi?

acha kuniiletea mifano ya kusadikika hapa.......kuna matajiri walio na tabia nzuri na wengine ni wahuni kama masikini ambavyo wapo wenye tabia nzuri na wengine mbaya,kwa nini nichague tajiri muhuni?au masikini asiye na mali wakati wapo matajiri na wenye tabia nzuri nikitaka???
afu umekomalia najidhalilisha kwa lipi,kusema tunapenda mwanaume financially stable ni jambo la kudhalilisha????SIONI HOW???
lastly huna haja ya kutumia maneno ya mitaani,ooh malaya and the like ili ueleweke!ok???mshikaji wako hajapondwa ila ameambiwa ukweli....hauna haja kuleta maneno machafu hapa kujustfy ANYTHING!
 
nani kakuambia kuwa mimi huwa natafutaga mademu? nimeongea lini hii kitu? mimi sitafuti mademu bwana .. au unajaribu kueleza characters zako hapa?

Nope, sijawahi kutafuta uhusiano hapa JF na wala siku hapa kwa lengo hilo mkuu. I am just here just like the majority kuweka mawazo ya namna ya kukabiliana na hizi changamoto. Kingine, I try to be humble kwa sababu I have been on both ends...nimeshakuwa fukara sana na sasa hivi I am very independent. However, issue iliyotuleta hapa ni ya huyu mwenzetu B.O.G na sio magari wala nyumba wala fedha..those are just things...materials..they never last.
 
afro d check his msg down here... hahaha !!! hakuna umeme? umeipigia ccm kura iam sure .. ccm ndio kuna watu washamba washamba kiasi hiki.. no genereta around you? this is fixation
Utabiri wako hauja kamilika..Mimi sio CCM na si tumii genereta.. Try again ...
 
mawazo ya ajabu sana haya! Hv ww unatafuta bwana kwa kuangalia mali?4 sure wewe huna mapenzi na wadada wa type yako hawafai kabisa.Nimepitia post zako hapa na nimeona jinsi ulivyo yani upo after money na Cv ya mtu.Ok nakujulisha kuwa usikute huyu jamaa hapa ni milionea bt kajishusha hapa ili apande mpenz wa kweli na si kama ww mpenz wa pesa.Kuna movie moja ya Ray na wolper ungeitazama ungepata funzo kubwa sana kuwa mtu anaweza ku act apate kitu halisi coz kwa vyovyote vile bila kujifanya masikini lazima wadada type yako watakuja nakujifanya mnampenda kumbe mna deal na pesa tu.Ona aibu japo kidogo. Shame on u.

pole wee kama zile movie za akina Ray ndio zinakuzuzua,jifanye leo wewe masikini na unatafuta kama UTAMPATA MTU?????aliyekuambia mapenzi ya kweli yanapimwa kwa UMASIKINI kakudanganya!!....wapo matajiri kibao wako HAPPY na ndoa zao!.....
na sijaona sababu ya huyu mtoa mada kujishusha kama yeye ni milionea,anajikosesha nafasi ya kukutana na warembo wa ukweli.....mdada gani atataka apate mtu masikini ili mradi tu anampenda????umeambiwa utakula na kuvaa hio real luv????embu kuwa realistic kidogo
 
Wako mafukara kibao hapa na wana wapenzi wao vile vile....
 
acha kuniiletea mifano ya kusadikika hapa.......kuna matajiri walio na tabia nzuri na wengine ni wahuni kama masikini ambavyo wapo wenye tabia nzuri na wengine mbaya,kwa nichague tajiri muhuni?au masikini asiye na mali wakati wapo matajiri na wenye tabia nzuri nikitaka???afu umekomalia najidhalilisha kwa lipi,kusema tunapenda mwanaume financially stable ni jambo la kudhalilisha????SIONI HOW???lastly huna haja ya kutumia maneno ya mitaani,ooh malaya and the like ili ueleweke!ok???mshikaji wako hajapondwa ila ameambiwa ukweli....hauna haja kuleta maneno machafu hapa kujustfy ANYTHING!
acha kujiosha hapa, nimekupa ukweli ukubali ukatae utajua mwenyewe.Utasemaje wanawake wote wanapenda pesa?Acha kujidhalilisha na kudhalilisha wenzako.Wadada type yako ni vicheche una kazania financial stable si utafute yako? Yanini kukazania mali za wanaume?Eti ooh wanawake tunapenda kudanganya! Wewe kweli mwehu na utadanganya miaka yote.Hv anaekudanganya ana mali na anaekwambia ukweli hana mali bt anakupenda kwa dhati bora yupi?wewe inaonyesha unapenda sana kuonjwa na kudanganywa na mali,magari n.kThen weka akilini kuwa financial stability it can change any time. Leo hii na men wako mwenye magari na pesa may b 2 yrs later mkawa kapuku tu na huyu dogo akawa milionea. Je utamfuata dogo akuoe?Siku nyingine usilete ujinga hapa jamvini kuna watu akili zao.
 
Utabiri wako hauja kamilika..Mimi sio CCM na si tumii genereta.. Try again ...
aa Afro d nilikuwa sikuambii wewe bwana.. nitakuambiaje hivyo aisee? huyu jamaa kaambia kuwa alipigiwa simu akawa hapatikani.. akajibu kuwa umeme ulikatika ..this was nt ya meseji my dear Afrod. relaxy with happy
 
pole wee kama zile movie za akina Ray ndio zinakuzuzua,jifanye leo wewe masikini na unatafuta kama UTAMPATA MTU?????aliyekuambia mapenzi ya kweli yanapimwa kwa UMASIKINI kakudanganya!!....wapo matajiri kibao wako HAPPY na ndoa zao!.....na sijaona sababu ya huyu mtoa mada kujishusha kama yeye ni milionea,anajikosesha nafasi ya kukutana na warembo wa ukweli.....mdada gani atataka apate mtu masikini ili mradi tu anampenda????umeambiwa utakula na kuvaa hio real luv????embu kuwa realistic kidogo
hivi kwao vicheche wa mtaani ndio warembo?Hv unajua maana ya mke wewe?Kijana anaweza kupata mke kwa pesa zake je pesa na kufilisika ndio mapenz kwa mkewe nayo yatakuwepo?Hebu tumia akili wewe acha ujuha dada.Yani kama umeole wewe aliyekuoa kapata hasara kubwa yani umekiri wazi eti sisi tunapenda pesa na kuita eti financial stability.Tafuta zako acha za wanaume utanyanyasika siku zote.Acha kijana hapa atumie mbinu zake kama ni kweli hana kitu au ni kujishusha au ku act choka mbaya ili apate mke wa kweli na cku ukisikia anaenda honeymoon frorida ndio utatia akili.
 
ivuga co kwamba hatuelewi intention yako hapana bt nilichokupinga ni kwamba una fikra potofu kwamba wanawake wote wanapenda pesa!Hapo nakataa man always luv z unique na kamwe usidhani kumpata ww msichana ni kuwa na gari je hao wasichana waliozaliwa tu tayari wana magari na wamekua na magari utawadanganya nini? Hebu kuwa mjanja man unaweza kuwa na pesa na bado ukawa boya tu.Wangapi wanapesa wanamehewa mademu wao.Kama huamini nionyeshe dem wako then nipe 30 days tu kama sitakuita geto ushuhudie nikimpekenyua.Narudia tena unaweza kuwa na magari na bado ukawa boya tu na masela hawana kitu wakakugongea demu wako.Kubali ukatae huo ndio ukweli.
umeongea maneno meeengi wee. unataka umtongoze demu wangu .. sista do wangu hahahah wewe hutaweza swagga zangu na mimi sio mtu wa kujionyesha jamaa anatakiwa some umri wa kuoa bado kabisa kwake..
ook achana na demu wangu mjibu huyu dada ha[po chini kwanza
Hivi kwan huyu mkaka hajapata mchumba mpaka leo?
 
Kwa hiyo mademu unaowapata ndio wanazimikia hivi ulivyovitaja? I mean hebu i describe hiyo elimu nzuri..do you mean Masters level, PhD level, do you mean kusoma Cornell, Oxford, Mzumbe, SUA? And how do you describe nyumba nzuri? You see where I am going? Point yangu ni kwamba sio kila mtu ana view ya maendeleo aliyenayo mtu mmoja. People are different. Wewe mtazamo wako wa maendeleo ni tofauti na mtazamo wangu. Kwa mfano maendeleo kwangu yanaweza kuwa ni ku retire na kuwa financially free nikiwa na miaka 45 na ku travel around the world. Mtu mwingine maendeleo ni kuweka umeme kwenye nyumba yake..
hahahah ok pole sana nimependa mawazo na plan zako.. wewe kweli ni kiboko yaani kuweka umeme kwenye nyumab yako ni maendeleo? hahah umeme gani huo? tanesco? pole sana labda uweke giza
 
Back
Top Bottom