Sijaona mkare (4 girls)

Sijaona mkare (4 girls)

Acha fujo ..
tusije kunyimana bure....
sio fujo dogo naona anaendelea kuingia machaka .. nimeona nimpe swagga langu moja tu ili anyamzave asiendelee kutujazia saver hapa.. yeye anatuletea mipicha amepiga kwenye mawe huko? akiletewa picha za mbele si atakaa chini? ok this hapo down ni bongo dsm...na namshauri dogo kwa umri wake anatakiwa bado apige kitabu kama mimi siwezi kumpa dada yangu kwa sababu atamlaza njaa ... i dont see anything interesting from him .. now days mapenzi bila pesa sio kitu dogo should know this na wewe mtu wangu afro d unavyo mshadadia dogo ndio utasababisha atuwekee na picha za kijijini kwa bibi yake hapa na unampoteza mwenzako ujue .. tell him the truth.. he sholud make money like cash money ..nothing impossible under the sun.
wa dada nimeweka picha za skani kwangu ila sitaki m ni pm mm najaribu tu kumuweka dogo sawa ok?

dogo soma ... huna swaga za kumvutia mwanamke yoyote hapa JF ukae ukijua kuwa baadhi yao wako mbele .. wengine tunaishi kwenye gym tukiweka picha zaetu hapa tutavuruga ndoa za watu .. sasa soma maliza chuo kuna bodi ya mkopo siku hizi huwezi kusingizia kuwa wazazi wako ni maskini,... ukishamaliza chuo piga ujasiriamali ukiweza kununua madude kama hayo hapo chini njoo hapa JF ..asikudanganye mtu mapenzi bila pesa sio mapenzi
ok?
 
weee mkare...mie nimekupenda sema mie ni kiajuza kwako....kuna wimbo unaimba nikikupaaaaaaaaaaaaaaaa utanogewa/utalewa lol
 
aiseee saint Ivuga kama huo ni usafiri wako RIMOYO RANGU TAYARI RIMEKUDONDOKEA...kweli this should be the topic of the year manake vimbwanga balaaa........
 
dogo soma ... huna swaga za kumvutia mwanamke yoyote hapa JF ukae ukijua kuwa baadhi yao wako mbele .. wengine tunaishi kwenye gym tukiweka picha zaetu hapa tutavuruga ndoa za watu .. sasa soma maliza chuo kuna bodi ya mkopo siku hizi huwezi kusingizia kuwa wazazi wako ni maskini,... ukishamaliza chuo piga ujasiriamali ukiweza kununua madude kama hayo hapo chini njoo hapa JF ..asikudanganye mtu mapenzi bila pesa sio mapenzi
ok?

Kama wewe unajiona kweli ni bora zaidi ya mshkaji kulikua hamna haja ya kuanza kubrag kwamba sijui unashinda gym and all that bull huku ukimponda yeye.Yote hayo yanonyesha kwamba anakutisha maana unahangaika kweli kumshusha.

Kila mwenye mke/mpenzi wa maana ana hayo magari uliyoweka hapo?!Wote wanashinda gym?!Wote ni mamilli/billionea!?

Inaonekana umemaind sana comfidence ya mshkaji sasa unajitahidi kweli kuishusha tangu huko nyuma alafu nae hatikisiki mpaka unaamua kuja na kejeli zisizo na mbele wala nyuma.Leave the guy alone...atleast he is got the guts to be honest with himself as well as everyone else bila kujali mtamwona/fikiria vipi!!

B.O.G kuna watu wengine hata hamna haja ya kuwajibu.Na wala usikatishwe tamaa na the likes of huyu jamaa anaedhani kila mtu anaangalia kalala gym au kaamkia bank gani.
 
afro d check his msg down here... hahaha !!! hakuna umeme? umeipigia ccm kura iam sure .. ccm ndio kuna watu washamba washamba kiasi hiki.. no genereta around you? this is fixation
Aiseeee...lazima mshkaji amekugusa pabaya!!
 
dogo soma ... huna swaga za kumvutia mwanamke yoyote hapa JF ukae ukijua kuwa baadhi yao wako mbele .. wengine tunaishi kwenye gym tukiweka picha zaetu hapa tutavuruga ndoa za watu .. sasa soma maliza chuo kuna bodi ya mkopo siku hizi huwezi kusingizia kuwa wazazi wako ni maskini,... ukishamaliza chuo piga ujasiriamali ukiweza kununua madude kama hayo hapo chini njoo hapa JF ..asikudanganye mtu mapenzi bila pesa sio mapenzi
ok?

sio fujo dogo naona anaendelea kuingia machaka .. nimeona nimpe swagga langu moja tu ili anyamzave asiendelee kutujazia saver hapa.. yeye anatuletea mipicha amepiga kwenye mawe huko? akiletewa picha za mbele si atakaa chini? ok this hapo down ni bongo dsm...na namshauri dogo kwa umri wake anatakiwa bado apige kitabu kama mimi siwezi kumpa dada yangu kwa sababu atamlaza njaa ... i dont see anything interesting from him .. now days mapenzi bila pesa sio kitu dogo should know this na wewe mtu wangu afro d unavyo mshadadia dogo ndio utasababisha atuwekee na picha za kijijini kwa bibi yake hapa na unampoteza mwenzako ujue .. tell him the truth.. he sholud make money like cash money ..nothing impossible under the sun.
wa dada nimeweka picha za skani kwangu ila sitaki m ni pm mm najaribu tu kumuweka dogo sawa ok?

aiseee saint Ivuga kama huo ni usafiri wako RIMOYO RANGU TAYARI RIMEKUDONDOKEA...kweli this should be the topic of the year manake vimbwanga balaaa........
soma hapo juu kweney red.. kama uppo dar unaweza ukakuta ushawahi kuniona mitaa flan flan hizi..i hope hatutaanza kutafutana au kushikana mashati .. hahahahahahahah
 
Kama wewe unajiona kweli ni bora zaidi ya mshkaji kulikua hamna haja ya kuanza kubrag kwamba sijui unashinda gym and all that bull huku ukimponda yeye.Yote hayo yanonyesha kwamba anakutisha maana unahangaika kweli kumshusha.

Kila mwenye mke/mpenzi wa maana ana hayo magari uliyoweka hapo?!Wote wanashinda gym?!Wote ni mamilli/billionea!?

Inaonekana umemaind sana comfidence ya mshkaji sasa unajitahidi kweli kuishusha tangu huko nyuma alafu nae hatikisiki mpaka unaamua kuja na kejeli zisizo na mbele wala nyuma.Leave the guy alone...atleast he is got the guts to be honest with himself as well as everyone else bila kujali mtamwona/fikiria vipi!!

B.O.G kuna watu wengine hata hamna haja ya kuwajibu.Na wala usikatishwe tamaa na the likes of huyu jamaa anaedhani kila mtu anaangalia kalala gym au kaamkia bank gani.

ok ok dada LIZYY ,..im gone.. sitarudi tena kumponda huyu jamaa .. i wish him all the best .. ila mimi nia yangu nilikuwa nataka asome kwanza kwa sababu huko mbele tunakoenda itafikia hatu mzazi lazima amsomeshe mwanae hadi chuo kikuu sasa huyu kama akimchukua dada yangu mmoja wapo hapa jf..dada zangu watatu wapo hapa jf . na akimpa mimba huoni kuwa itakuwa mzigo kwangu??????? huyu kwa hali aliyo nayo bila kujieendeleza na sasa anatafuta mke ataweza wapi kumsomesha mwanae hadi chuo kiku??????????? sina kinyongo naye.. i dont have any problem with his confidence inabidi hizo konfidensi azipeleke darasani na sio kuja hapa jf kutongoza dada zetu..
 
Aiseeee...lazima mshkaji amekugusa pabaya!!
hahahah !! amenishika pabaya kwa lipi? nataka arudi kwenye mstari .. kama umri wake ni kweli hajadanganya basi anatakiwa awe shuleni bado .. inaytakiwa atuwekee mavyeti ya university , master ,, phd etc.. na sio vyeti vya kushinda debate hahahha...
 
dogo soma ... huna swaga za kumvutia mwanamke yoyote hapa JF ukae ukijua kuwa baadhi yao wako mbele .. wengine tunaishi kwenye gym tukiweka picha zaetu hapa tutavuruga ndoa za watu .. sasa soma maliza chuo kuna bodi ya mkopo siku hizi huwezi kusingizia kuwa wazazi wako ni maskini,... ukishamaliza chuo piga ujasiriamali ukiweza kununua madude kama hayo hapo chini njoo hapa JF ..asikudanganye mtu mapenzi bila pesa sio mapenzi
ok?

Kaka acha pumba pumba pumba na unafiki... kumbuka mapenzi hayana utajiri, mapenzi hayana elimu, mapenzi hayajali Gymn!!!!!!! Kijana amekushinda kwa maconfidence na kujisifia na kukubali umasikini wake na elimu yake ya Dar tech.. wewe nenda uko kwa machangudoa na Magari yako kama siyo Photo shop basi utakuwa umepata baada ya baba yako kuiba mali zetu kwa ufisadi au EPA au kuuza unga.... watu kama ninyi na baba zenu mafisadi na wezi wa mali zetu ndio mnatufanya tulale na giza... msubiri arobaini yenu itafika...

Mwache kijana atafute mlala hoi mwenzake! Pilipili usiyoila inakuwasha nini??
 
hhahahah akili ya magamba wa ccm hii , umeshapata mgao wa pikipiki? sasa hivi Nape anagawa piki piki fanya mishe mishe upate fasta ..
hakuna foto shop hapo nimeamua kufuta hizo namba kwa mambo ya kiusalama zaidi.. au nikupezingine nini ndio uamini? hahahhah !! naona ushaanza kuniita fisadi.. mimi baba yangu ni maskini yupo kijijini ..nimefight mwenyewe nilikuwa nyoka for 10 years before i went to univesrity..nitashangaa kama hujui maana ya nyoka .. muulize preta au paka jimmi watakuambia ....take care dud
hapo kwenye mstari. akimpa dada yangu au ndugu yangu mimba hujui kuwa atanipa mzigo wa kulea wajomba?huoni kuwa kijana anatia aibu kwa kuleta vyeti vya kushinda debate ? ahhahah !!so sorry for him
 
ok ok dada LIZYY ,..im gone.. sitarudi tena kumponda huyu jamaa .. i wish him all the best .. ila mimi nia yangu nilikuwa nataka asome kwanza kwa sababu huko mbele tunakoenda itafikia hatu mzazi lazima amsomeshe mwanae hadi chuo kikuu sasa huyu kama akimchukua dada yangu mmoja wapo hapa jf..dada zangu watatu wapo hapa jf . na akimpa mimba huoni kuwa itakuwa mzigo kwangu??????? huyu kwa hali aliyo nayo bila kujieendeleza na sasa anatafuta mke ataweza wapi kumsomesha mwanae hadi chuo kiku??????????? sina kinyongo naye.. i dont have any problem with his confidence inabidi hizo konfidensi azipeleke darasani na sio kuja hapa jf kutongoza dada zetu..

Yeah right...

Kama kweli nia yako ilikua kumshauri kwamba apambane na maisha kwanza usingeanza kujifanya eti wewe sijui hivi mara vile...nobody cares.Ungeweza ukamwambia kistaarabu tu na ukaeleweka.

Pili nani aliyekudanganya kwamba kusoma ndiko kunakompa kila mtu maendeleo?!Kuna watu wangapi hawajasoma ila wana mafanikio ambayo wengi wanayaona ndotoni tu?!Watu wangapi wameoa/kuolewa alafu ndio wanaongezea elimu ya juu?!Na je kuna sehemu aliyosema kwamba hasomi au hana kazi mpaka kusema atawaangaliaje sijui dada zako...!Na hao dada zako nao wanakaa tu na kusubiria kulelewa na wanaume?!

Na ni nani haswa aliyekidanganya kwamba mpaka mtu awe na gati ndio aweze kujikimu kimaisha?!

Usionyeshe ushamba wako hadharani kiasi hicho.Kila mtu ana malengo yake na njia za kuyafikia...
 
dogo soma ... huna swaga za kumvutia mwanamke yoyote hapa JF ukae ukijua kuwa baadhi yao wako mbele .. wengine tunaishi kwenye gym tukiweka picha zaetu hapa tutavuruga ndoa za watu .. sasa soma maliza chuo kuna bodi ya mkopo siku hizi huwezi kusingizia kuwa wazazi wako ni maskini,... ukishamaliza chuo piga ujasiriamali ukiweza kununua madude kama hayo hapo chini njoo hapa JF ..asikudanganye mtu mapenzi bila pesa sio mapenzi
ok?
Life is about choice , after I finished form 4 nilipata dv 2 and i was selected to join the dar eslaam institute of technology D.I.T. sababu nilichagua kujon technical collage instead of form , even othough it was not essy sababu walimu wangu walitaka nichague kujiunga na kidato cha 5. but nilikuwa nimeshakubaliana na familia yangu juu ya suala hilo kwa maana niliwaeleza kwamba sitaki kufocus sana kwenye theory things bali i want ot get my hands dirty by doing practical things in collage. Baada ya kuwa nimejiunga na chuo every thing was very fine isipokuwa kulikuwa na tatizo moja lililo kuwa likinisumbua ni kwamba nilikuwa ni kiingia kwenye lecture saa mbili na na lecture akaingia baada ya 25 to 30min nakuwa nimeshikwa na usingizi tayari no matter mwalimu gani ameingia. hiyo ni asubuhi na mchana baada ya break hapo ni 20 to 25 min nakuwa nimesha sinzia. somo nilikuwa sisinzii ni enterpreneurship ( ujasilia mali) . lectures sm lectures wakawa wana niita ofcn kwao kujaribu kunihoji nina tatizo gani na wengine wakisema kuwa nahitaji maombi. At the END of the day nikajiuliza hivi Am I sure am Doing waht i like to do ? or am doing what i Am suppose to do ?
After 1 year nikachukua matokeao yangu kisha nikaomba kuahirisha mwaka ulio kuwa unafuata ili niweze kupata mda wakutosha kufikilia juu ya kitu ambacho napenda kufanya juu ya maisha yangu.
mwaka jana tarehe 1.1. 2010 niliajliwa katika fani yangu na kampuni moja hapa jijini. Ila baadaye nikashindwa kuendelea kwa sabau sikuwa nikitaka kuishi sehemu ambayo nafanyia kazi (Hotelini) ingawa kiukweli life ya hapo ilikwa supa maana i was senior stuff na nikiamka nakuta meza imechafuliwa then ni life ya ufukweni. pia kuna mambo mengine madogo madogo ambayo tulishindwa kuelewana. ila chamsingi ni kwamba nilitaka kuwa na kwangu sabu nilikuwa napokea salary then cjui inaishaje. bt kama nina kwanguvilivyo nizunguka ndo vimemeza salary yangu.na skutaka siku niachishwe kazi then niende kuishi kwa m2. niliandika barua nika rizain. i did not hve alot of balance ila nilitafuta chumba nikalipia miezi sita. kisha balance nyingine nikaiweka benki ili iweze kunitunza mpaka hapo nitakapo rescure another job ingawa kuna kampuni tayari nilikuwa nime apply na nilitarajia kujiunganayo baada ya miezi miwili. In my new room there was oly 2 Suitcases. nilliweka shuka madilishani kama pazia , nilitandika net chini na mto nikalala.
then imeenda ikarudi and nw i thank GOd kwamba sasa nina chumba ambacho unaweza ukasema anaish smbody. i will upload sm photos of it soon.
 
....10 years before i went to univesrity..
Note last word uliyo andika hapo juu ..labda University uliyokwenda ni pale kwa makada kivukoni...Sina haja ya kujua background yako .. Sina interest nayo.. Ila nashangaa unavyomuattack dogo .. Inaonyesha uwezo wako Wa kufikiri uko finyu sana!By the way, I have no interest in politics! Lakini Nina uchungu na wezi Wa Mali za umma Kama wazazi wenu!
 
Yeah right...

Kama kweli nia yako ilikua kumshauri kwamba apambane na maisha kwanza usingeanza kujifanya eti wewe sijui hivi mara vile...nobody cares.Ungeweza ukamwambia kistaarabu tu na ukaeleweka..
vyovyote tu atakuwa amenielewa
Pili nani aliyekudanganya kwamba kusoma ndiko kunakompa kila mtu maendeleo?!Kuna watu wangapi hawajasoma ila wana mafanikio ambayo wengi wanayaona ndotoni tu?!Watu wangapi wameoa/kuolewa alafu ndio wanaongezea elimu ya juu?!Na je kuna sehemu aliyosema kwamba hasomi au hana kazi mpaka kusema atawaangaliaje sijui dada zako...!Na hao dada zako nao wanakaa tu na kusubiria kulelewa na wanaume?!
usiposoma utaishia kuwa muuza genge kama babu yako mangi.ukisoma uwezekano wa kutoka ni asilimia 100% najua huwezi kungana na mimi kwa hili labda uwe unavuta bangi, kuhusu dada zangu wakaushie kwanza

Na ni nani haswa aliyekidanganya kwamba mpaka mtu awe na gati ndio aweze kujikimu kimaisha?!
hahahhahaha !! hapa umenichekesha .. kama sio kweli kwa nini watu wote hawana magari? mikogo yangu najua imekukosha .. nita ku pm badae
Usionyeshe ushamba wako hadharani kiasi hicho.Kila mtu ana malengo yake na njia za kuyafikia...
hahahahha !! malengo yake ni kuoa kwa cheti cha kushinda debate ya form three? kama umempenda nenda kaolewe naye basi si kaweka namba zake hapo? hahahah kinachokuum ni nini ? mimi najaribu kumrekebisha yeye na watu wenye mawazo kama yake.. haha eti mimi ni mshamba? kwa lipi?
 
Note last word uliyo andika hapo juu ..labda University uliyokwenda ni pale kwa makada kivukoni...Sina haja ya kujua background yako .. Sina interest nayo.. Ila nashangaa unavyomuattack dogo .. Inaonyesha uwezo wako Wa kufikiri uko finyu sana!By the way, I have no interest in politics! Lakini Nina uchungu na wezi Wa Mali za umma Kama wazazi wenu!
acha wivu ... ushawahi kwenda pande za AR?? unajua magari yanayoendeshwa na macchalii? hahahah najua unatoka ruvuma au msumbiji .. pole sana .. ukienda AR basi utakuja kusema kuwa kila chalii mwenye mkoko wa maana baba yake ni fisadi .. amka fanya kazi soma have a pan you gonna success.. usipilalaamike kila mara.. hahahha oya usiniloge tu bra
 
ok ok dada LIZYY ,..im gone.. sitarudi tena kumponda huyu jamaa .. i wish him all the best .. ila mimi nia yangu nilikuwa nataka asome kwanza kwa sababu huko mbele tunakoenda itafikia hatu mzazi lazima amsomeshe mwanae hadi chuo kikuu sasa huyu kama akimchukua dada yangu mmoja wapo hapa jf..dada zangu watatu wapo hapa jf . na akimpa mimba huoni kuwa itakuwa mzigo kwangu??????? huyu kwa hali aliyo nayo bila kujieendeleza na sasa anatafuta mke ataweza wapi kumsomesha mwanae hadi chuo kiku??????????? sina kinyongo naye.. i dont have any problem with his confidence inabidi hizo konfidensi azipeleke darasani na sio kuja hapa jf kutongoza dada zetu..
nimesha sema kuwa nina kazi yangu , nina lipwa mshahara ambao unazidi kima cha chini . kuhusu suala la kujiendeleza ni kwamba kila kukicha ndicho nacho fanya mpaka usiku wa manane ila bahatimbaya au nzuri nikwamba lecture wangu ni www.google.com na principal wangu ni www.youtube.com. na pongezi ziende kwao na ambao hamu watu mii u better start.
 
Life is about choice , after I finished form 4 nilipata dv 2 and i was selected to join the dar eslaam institute of technology D.I.T. sababu nilichagua kujon technical collage instead of form , even othough it was not essy sababu walimu wangu walitaka nichague kujiunga na kidato cha 5. but nilikuwa nimeshakubaliana na familia yangu juu ya suala hilo kwa maana niliwaeleza kwamba sitaki kufocus sana kwenye theory things bali i want ot get my hands dirty by doing practical things in collage. Baada ya kuwa nimejiunga na chuo every thing was very fine isipokuwa kulikuwa na tatizo moja lililo kuwa likinisumbua ni kwamba nilikuwa ni kiingia kwenye lecture saa mbili na na lecture akaingia baada ya 25 to 30min nakuwa nimeshikwa na usingizi tayari no matter mwalimu gani ameingia. hiyo ni asubuhi na mchana baada ya break hapo ni 20 to 25 min nakuwa nimesha sinzia. somo nilikuwa sisinzii ni enterpreneurship ( ujasilia mali) . lectures sm lectures wakawa wana niita ofcn kwao kujaribu kunihoji nina tatizo gani na wengine wakisema kuwa nahitaji maombi. At the END of the day nikajiuliza hivi Am I sure am Doing waht i like to do ? or am doing what i Am suppose to do ?
After 1 year nikachukua matokeao yangu kisha nikaomba kuahirisha mwaka ulio kuwa unafuata ili niweze kupata mda wakutosha kufikilia juu ya kitu ambacho napenda kufanya juu ya maisha yangu.
mwaka jana tarehe 1.1. 2010 niliajliwa katika fani yangu na kampuni moja hapa jijini. Ila baadaye nikashindwa kuendelea kwa sabau sikuwa nikitaka kuishi sehemu ambayo nafanyia kazi (Hotelini) ingawa kiukweli life ya hapo ilikwa supa maana i was senior stuff na nikiamka nakuta meza imechafuliwa then ni life ya ufukweni. pia kuna mambo mengine madogo madogo ambayo tulishindwa kuelewana. ila chamsingi ni kwamba nilitaka kuwa na kwangu sabu nilikuwa napokea salary then cjui inaishaje. bt kama nina kwanguvilivyo nizunguka ndo vimemeza salary yangu.na skutaka siku niachishwe kazi then niende kuishi kwa m2. niliandika barua nika rizain. i did not hve alot of balance ila nilitafuta chumba nikalipia miezi sita. kisha balance nyingine nikaiweka benki ili iweze kunitunza mpaka hapo nitakapo rescure another job ingawa kuna kampuni tayari nilikuwa nime apply na nilitarajia kujiunganayo baada ya miezi miwili. In my new room there was oly 2 Suitcases. nilliweka shuka madilishani kama pazia , nilitandika net chini na mto nikalala.
then imeenda ikarudi and nw i thank GOd kwamba sasa nina chumba ambacho unaweza ukasema anaish smbody. i will upload sm photos of it soon.
dogo nimekusoma .. we dont need picha za mapazia yako hapa .. hizi ni bangi dogo..
ok you still have time and you can come back to university and study...look forward dogo.. mmbo ya kulala darasani sio point hii .. kama ulikuwa unakunywa uji mwingi asubuhi ulikuwa unategemea nini? if ya willing to study and ya not able nakupa offer unaweza ku ni pm tutaangalia utaratibi lakini mambo ya kutafua mademu kwa huo umri wako utaishia tu kuzaa na kuwapa watoto wako tabu..go bacjk to school achana na kutafuta ajira may be if its part time job huku ukiwa unasoam lakini kwa umri huo na umepeta div 2 unatakiwa uwe school unapiga kitabu .im stand to be corrected
 
vyovyote tu atakuwa amenielewa

usiposoma utaishia kuwa muuza genge kama babu yako mangi.ukisoma uwezekano wa kutoka ni asilimia 100% najua huwezi kungana na mimi kwa hili labda uwe unavuta bangi, kuhusu dada zangu wakaushie kwanza

hahahhahaha !! hapa umenichekesha .. kama sio kweli kwa nini watu wote hawana magari? mikogo yangu najua imekukosha .. nita ku pm badae

hahahahha !! malengo yake ni kuoa kwa cheti cha kushinda debate ya form three? kama umempenda nenda kaolewe naye basi si kaweka namba zake hapo? hahahah kinachokuum ni nini ? mimi najaribu kumrekebisha yeye na watu wenye mawazo kama yake.. haha eti mimi ni mshamba? kwa lipi?

Ehhhh tafadhali wewe naomba mambo ya babu yangu uachane nayo...sijamuweka mtu yeyote kwenye hoja yangu bila wewe mwenyewe kumchomekea....and FYI babu yangu was nothing but a winner.

Kuhusu hayo mengine naona niyapotezee tu maana muda wa kubishana na mtu kama wewe sinao...na kuhusu kuniPM don‘t you even think about it maana USHAMBA sifagilii kabisa.Utaishia kunijazia PMB yangu bure tu.
 
acha wivu ... ushawahi kwenda pande za AR?? unajua magari yanayoendeshwa na macchalii? hahahah najua unatoka ruvuma au msumbiji .. pole sana .. ukienda AR basi utakuja kusema kuwa kila chalii mwenye mkoko wa maana baba yake ni fisadi .. amka fanya kazi soma have a pan you gonna success.. usipilalaamike kila mara.. hahahha oya usiniloge tu bra

Kaka gari nzuri ndio kipimo cha maendeleo?
 
Back
Top Bottom