Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
hahahhah.. Ya the one whos supposed to go back to fb i was farmous here even before you joined this place...i was visiting th place since 2006 as a guest.. Are ready to go back to school? I want to help you my brother and dont undermine any one who want to help you.Saint Ivuga kwa kuwa unatafuta umaarufu kupitia post yangu basi nimefurahiswa sana kwa hilo na nimekuweka na wewe kwenye post yangu (mwanzo kabisa) li uweze kuwa alwatani but keep in mind JF sio sehemu ya TOMBOYS u better go to fb if u wanna meat ur fellows.
u reallly dont know wata ya talking. U do know even his history..?go back in this thread read his history and why he drop university and then come here with ya claims.ok?I feel pity for the young man as some of us have managed to drive him out of the lane. It is all about Egoism and narcissim...[video=youtube_share;E91loIaiPRw]http://youtu.be/E91loIaiPRw[/video]
u reallly dont know wata ya talking................ ya claims.ok?
what ar u talking about?Brother, with all due respect I don't think you can tell me I don't know what I am talking about.. It is all about my feeling; not claims and I don't need anyone to agree or get it through! What I think is right will remain to be right for myself and not for the society.Quick advice ..Just read it and forget ..Peace ya!
dogo sikia watu wanaokusapot trust me hawakutakii mema kabisa,kwa ulivyo jiwakilisha hakuna ata mmoja atakayekuwa tayari kukupa dadake,mdogo wake au mwanae WANAKUCHORA NA KUKU-ENJOY Tu..ningekushauri ujipange upya izo nguvu unazotumia kutafuta mke,zitumie kurudi kuongeza elimu at least ata ka-digrii utajitambua na utakuwa na garantii kdg kwenye laif, nauhakika tamthiliya za kwenye tv ndio zinakudanganya,ayo mapenzi ya kuwa mkweli kiasi icho yamebaki kwenye tv tu..tafuta elimu na pesa kwanza,PESA NA ELIMU ndio vitaleta mke mzuri,familia nzuri,nyumba nzuri,gari nzuri,marafiki wazuri na kila utachopenda,uko mtaani mademu walikuwa wanakuzingua sababu umepigika utawapa nini maisha yenyewe magumu sana mtaani..UKWELI MCHUNGUgood to be honest bt unfortunatly ur not kind of what am lookin 4 .
mapenzi siku izi pesa wewe acha utoto wa kuiga maisha za kwenye movie..mlaze mkeo njaa siku mbili alafu uone kama nikimnunulia kiepe na sayona kama sijabebamawazo ya ajabu sana haya! Hv ww unatafuta bwana kwa kuangalia mali?4 sure wewe huna mapenzi na wadada wa type yako hawafai kabisa.Nimepitia post zako hapa na nimeona jinsi ulivyo yani upo after money na Cv ya mtu.Ok nakujulisha kuwa usikute huyu jamaa hapa ni milionea bt kajishusha hapa ili apande mpenz wa kweli na si kama ww mpenz wa pesa.Kuna movie moja ya Ray na wolper ungeitazama ungepata funzo kubwa sana kuwa mtu anaweza ku act apate kitu halisi coz kwa vyovyote vile bila kujifanya masikini lazima wadada type yako watakuja nakujifanya mnampenda kumbe mna deal na pesa tu.Ona aibu japo kidogo. Shame on u.
maneno ya mkosajiMpatanishi nikipata nafasi ntakutafutia link maana tulishaliongelea hili la mapenzi na mapesa kwa marefu na mapana.Binafsi pesa za baba/mama/mjomba/shangazi/kaka/dada sizihesabii kama zangu achilia mbali za mwanaume ambae mahusiano yetu hayatakuja na guarantee.Mambo sijui ya financial stability najitengenezea ya kwangu badala ya kumtegemea mwanaume mpaka hata ukitolewa ngeu huna ujanja wa kuondoka sababu ya njaa na utegemezi.Na kwa aliyosema mdada hapo yanaweza yakamzalilisha yeye na sio mimi wala wengine wasiokubaliana nae maana yeye sio muwakilishi wetu so nasoma na kujichekea tu.
kwani kumdharau mtu ni kosa??dharau ni hisia hauwezi kuzizuiaNa kweli unadharau na atakaesema au kudhani hivyo atakua hajakosea.Au kumwambia mtu utaishia kuoa housegal sio dharau hiyo?!
Na yako ni maneno ya m..u...b..v.. Unadhani kila mtu ana njaa na pesa ya mwanaume/mwanamke?!maneno ya mkosaji
upo radhi kufa kwa njaa kwa sababu hutaki kuolewa na mtu mwenye mipesa? hahah .... n kikiNa yako ni maneno ya m..u...b..v.. Unadhani kila mtu ana njaa na pesa ya mwanaume/mwanamke?!
hawa ndio waamegewa wake zao hawa.mapenzi siku izi pesa wewe acha utoto wa kuiga maisha za kwenye movie..mlaze mkeo njaa siku mbili alafu uone kama nikimnunulia kiepe na sayona kama sijabeba
maneno ya mkosaji..ha ha ha ha!!unajiuliza nimejuaje!?Na yako ni maneno ya m..u...b..v.. Unadhani kila mtu ana njaa na pesa ya mwanaume/mwanamke?!
ajafata mapemzi uyo kashoboka..utampendaje mtu kwenye mtandao tena yuko mtoni..kafata pesa uyo au state..mshaurini dogo ajipange wazuri watamfuata wenyewe hana aja ya kuangaika kwenye mitandao ,kaanzia mbali uyu facebook ukn kote wamemtosajamani mi na my best friend,my homeboy, anaenda state mwisho wa mwaka huu au mwanzoni mwa mwaka ujao.Na mapenzi hayahaya ya kwenye mtandao,sasa wanaobeza mapnz ya kwenye mtandao wanataka kuniambia nini??
hapo nimekukubali nafurah kuona wapo wadada wanaojitambua kuliko huyu anaendekeza pesa eti financial stability ya mwanaume si atafute zake iweje aweke matumaini kwa mwanaume ambaye hajasaidia hata kutafuta.Stay blecd LizzyMpatanishi nikipata nafasi ntakutafutia link maana tulishaliongelea hili la mapenzi na mapesa kwa marefu na mapana.Binafsi pesa za baba/mama/mjomba/shangazi/kaka/dada sizihesabii kama zangu achilia mbali za mwanaume ambae mahusiano yetu hayatakuja na guarantee.Mambo sijui ya financial stability najitengenezea ya kwangu badala ya kumtegemea mwanaume mpaka hata ukitolewa ngeu huna ujanja wa kuondoka sababu ya njaa na utegemezi.Na kwa aliyosema mdada hapo yanaweza yakamzalilisha yeye na sio mimi wala wengine wasiokubaliana nae maana yeye sio muwakilishi wetu so nasoma na kujichekea tu.
Amekwambia anataka wazuri?hv mke mzuri kwako ww ni yupi?acha kumpotosha mwenzako eti wazuri watamfuata! Ukiona mzuri anakufuata ujue kicheche.Na kwanini ya mwanamke atakae kupenda kwa pesa zako?hv utakua unapendwa wewe au pesa?!It seemz kwa umri wako bado hujajua mapenzi ni nini.ajafata mapemzi uyo kashoboka..utampendaje mtu kwenye mtandao tena yuko mtoni..kafata pesa uyo au state..mshaurini dogo ajipange wazuri watamfuata wenyewe hana aja ya kuangaika kwenye mitandao ,kaanzia mbali uyu facebook ukn kote wamemtosa