Sijaona mkare (4 girls)

hawa ndio waamegewa wake zao hawa.
kumegewa mke sio kwasababu mume ni masikini, kwani matajiri wangapi wake zao wanamegwa tena wanamegwa na madereva tu!Kama huamini we jifanye una mkwanja then usimpe mkeo vitu adimu kitandani ndo utakapo megewa mkeo na wewe!
 
jamani mi na my best friend,my homeboy, anaenda state mwisho wa mwaka huu au mwanzoni mwa mwaka ujao.

Na mapenzi hayahaya ya kwenye mtandao,sasa wanaobeza mapnz ya kwenye mtandao wanataka kuniambia nini??
bahati ya mwenzako unailalia mlango wazi? hao ma beach boy tunawajua
 
mapenzi siku izi pesa wewe acha utoto wa kuiga maisha za kwenye movie..mlaze mkeo njaa siku mbili alafu uone kama nikimnunulia kiepe na sayona kama sijabeba
nina mashaka na uelewa wako, yani uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo?Elewa kwamba hayo ya kupendwa kwa ajili ya pesa sio mapenzi. Kaa chini uyatafutie maana uitakayo lakini kamwe hayaitwi mapenzi.Tafuta maana kamili mapenz ni nini?je mapenz yanakuwepo kutoka na sababu mf pesa,mali n.k? Ukipata majibu ndio uje hapa.
 
ajafata mapemzi uyo kashoboka..utampendaje mtu kwenye mtandao tena yuko mtoni..kafata pesa uyo au state..mshaurini dogo ajipange wazuri watamfuata wenyewe hana aja ya kuangaika kwenye mitandao ,kaanzia mbali uyu facebook ukn kote wamemtosa
facebook na hi 5 kote huko wamempia chini.. ameona aje hapa JF
 

aiseee saint Ivuga kama huo ni usafiri wako RIMOYO RANGU TAYARI RIMEKUDONDOKEA...kweli this should be the topic of the year manake vimbwanga balaaa........
View attachment 34461

kwanza kabisa napenda kuwashukuru wote mliosoma na mliochangia article yangu maana ni faraja kubwa sana kwangu. pia naomba radhi kwa wote ambao wamefedheeshwa na yeyote sabau yangu.
Nilipo kuja hapa nilitoa sifa zangu kwa kuwa natafuta mrembo ambaye anaweza kuridhia sifa na vigezo nilivyo navyo ili tuweze kuanzisha kitu kinaitwa safari ya mapenzi. hivyo logicaly nategemea kuwa wadada ambao wako tayari ndio waweze kujielezea wasifu wao ili niweze kujua nita mchagua nani. kila mtu anafahamu kuwa hakuna mtu aliye kamilika kwa kila kitu hivyo ni fear kama mtu anaweza kuni uliza kama kitu flani ninacho ama nakipenda. na kingine kama binti anaona kwamba yuko tayari kuwa na mimi ila labda kwanza anataka nitafute degree ama nijenge kwanza niache kupanga na ndio atanipa mkono wake wa ndoa , basi kama namie nimeridhika naye i will do 4 love.
sasa kuna mdau ambaye nick name yake Saint Ivuga kajieleza vizuri sana juu ya wasifu wake kuwa yeye yuko nje, anapenda mazoezi anashinda jimu , kanipigia picha ya car parking yake kama uionavyo hapo juu. hakuuishia hapo akasema pia anaweza akaniendeleza kimasomo nikapata degree (sijui nani alimwambia kuwa cna uwezo wakujiendeleza)
kisha nikaanza kuwa na pesa nyingi acording to that person. uc this person is amaizing and he can change the world. but mwisho wasiku this person anakuwa ameingia kwenye choo cha kike maana watu ambao wanatakiwa wajieleze na kutuma picha zao ama za vitu vyao hapa ni mambinti tuu (strictly) maana cjui yeye ila mimi binafsi ni rijali na sijihusishi na mahusiano ya wanume kwa wanaume sabau am strait. but if this guy is also strait kuna m2u anajiita jestina amependa swaga zake hivyo sio vibaya nawatakia kila la kheri.
 
kumegewa mke sio kwasababu mume ni masikini, kwani matajiri wangapi wake zao wanamegwa tena wanamegwa na madereva tu!Kama huamini we jifanye una mkwanja then usimpe mkeo vitu adimu kitandani ndo utakapo megewa mkeo na wewe!
duh!! huyu naye anaongea nini..
 
hapo nimekukubali nafurah kuona wapo wadada wanaojitambua kuliko huyu anaendekeza pesa eti financial stability ya mwanaume si atafute zake iweje aweke matumaini kwa mwanaume ambaye hajasaidia hata kutafuta.Stay blecd Lizzy
Asante mpendwa...na wewe ubarikiwe zaidi!
 
dogo pole sana ila kama hutaki msaada wangu mimi sikulazimishi i dont give a f%$# your life is your life ila nilichofanya ni kuwafumbua macho dada zangu tu kuhusu watu kama wewe kwanza unataka kuwaharibu watoto wetu .. unataka binti mwenye umri wa miaka 17? are you mad .. then unataka uwe naye akushauri mambo ya maendeleo sio? na huwezi kunikataza mimi kuchangia thread yoyote hapa JF ilimradi tu nisivunje sheria za JF ....ok Tanzania kuna wanawake zaidi ya milioni 21.. mpaka sasa hivi hujapaa tu? hapa nimejumlisha na wale unaowatongoza kule fb
ok soma ulichoandika hapo chini then unijibu kwa nini uliacha shule? na upo tayari kurudi chuoni au hutaki?watoto kama nyinyi msiotaka shule eti kwa sababu mshajua kuongea kingereza ni kuwapiga bakora tu.
hapo kweney mstari wewe dogo unahitaji maombi maalmu
 
ha ha ha ha..mpatanishi aliyeshindwa kupatanisha ubongo wake wa panzi..ok mimi nimedefine mapenzi ni pesa kutokana na hali halisi ya jamii tunayoish mimi na wewe ..mapenz yanajengwa,yanavunjwa ,yanastawishwa,yanadhoofishwa,etc na pesaebu nipe tafsiri yako wewe according to the current situation/society
 
we Matumbo mbna uleta utumbo hapa?! Ok love z wide concept bt acha nikueleweshe kwa ufupi tu ''mapenz ni maridhiano ya wawili wapendanao''fungua kamusi tafuta maana ya neno maridhiano. Ukishapata ndio uje hapa.
 
saint mbna umekomaa sana na huyu chalii?muache man atafute mpenz amtakae au wewe ulianza ku date ukiwa na miaka 30?
 

hayo yote mkuu ulioyo sema ni sawa , bt mkubwa kichwa cha habari kama umekisoma vizuri kina mabano yanayosema 4girls so ndo wanatakiwa kuwa much concern 4who iam coz at the end of the day mmoja wao atanitambulisha kwa rafiki zake kuwa am her hursband , na kama anataka anifanyie maobi niko tayari pia kwa hilo. msichana yoyote kujiunga ama kubrowse JF it means anajitambua so sidhani kama wanahitaji unabii wako wa kuwafumbua macho.
then tz ina waanawake zaidi ya milioni 21 ila bado sijapata kwa sabau tokea nijue kupenda nina kama miaka 15 ambayo haitoshi kuwa nimesha ongea au kuwachunguza hao wote na ukizingatia wengine wana watu wao , wengine wamesha olewa na wengine wadogo . but most important thing ni kwamba natafuta 1 from that 23 millions, na ndio maana kwa nia nzuri ni kaaifahamisha jamii yangu kupitia JF kuwa nasafiri na ninazunguka lakini bado sijafanikiwa kumpata ambaye nitaendana nae milele daima na atanivaa kama kiatu akipendacho bila kumbana . so all that is a trick of kuchambua hiyo million 23 ili niweze pata mmoja ambaye ni wakwangu maana kila mtu hata kipofu ameumbiwa mtu wake na atampata pindi atakapo kuwa tayari kumtafuta. Nawashukuruni wote kwa support yenu mungu awabariki na muwapendao na mlio kama mimi awabariki mpate wa kuwapenda kama mlivyo jinsi mlivyo.
 
ok Dogo .. ngoja nikuache na thread yako naona you dont need any help.. nakutakia kila la kheri kwenye utafutaji wako wa mwenza wako hapa JF .im out!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ok Dogo .. ngoja nikuache na thread yako naona you dont need any help.. nakutakia kila la kheri kwenye utafutaji wako wa mwenza wako hapa JF .im out!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
good but much batteer kama ukisema ya single ladies. byeee mkubwa
 

Attachments

  • IMG_1178.JPG
    61.7 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…