hayo yote mkuu ulioyo sema ni sawa , bt mkubwa kichwa cha habari kama umekisoma vizuri kina mabano yanayosema 4girls so ndo wanatakiwa kuwa much concern 4who iam coz at the end of the day mmoja wao atanitambulisha kwa rafiki zake kuwa am her hursband , na kama anataka anifanyie maobi niko tayari pia kwa hilo. msichana yoyote kujiunga ama kubrowse JF it means anajitambua so sidhani kama wanahitaji unabii wako wa kuwafumbua macho.
then tz ina waanawake zaidi ya milioni 21 ila bado sijapata kwa sabau tokea nijue kupenda nina kama miaka 15 ambayo haitoshi kuwa nimesha ongea au kuwachunguza hao wote na ukizingatia wengine wana watu wao , wengine wamesha olewa na wengine wadogo . but most important thing ni kwamba natafuta 1 from that 23 millions, na ndio maana kwa nia nzuri ni kaaifahamisha jamii yangu kupitia JF kuwa nasafiri na ninazunguka lakini bado sijafanikiwa kumpata ambaye nitaendana nae milele daima na atanivaa kama kiatu akipendacho bila kumbana . so all that is a trick of kuchambua hiyo million 23 ili niweze pata mmoja ambaye ni wakwangu maana kila mtu hata kipofu ameumbiwa mtu wake na atampata pindi atakapo kuwa tayari kumtafuta. Nawashukuruni wote kwa support yenu mungu awabariki na muwapendao na mlio kama mimi awabariki mpate wa kuwapenda kama mlivyo jinsi mlivyo.