Sijaona mkare (4 girls)

hahahah....dah!!watuu people.safiii umejitoaa muangaa mjombaa
 
wewe dogo ni ****.. mimi nishakuambia kuwa nimejitoa kwenye thread yako sasa kwa nini una i edit tena na kuanza kunitukana?wtf? tumia ustaarabu basi kama mimi nilivyotumia ustaarabu kuachana na wewe baada ya kuona kuwa sio vizuri nilivyofanya japo nia yangu ilikuwa ni nzuri. ok?kwanza wewe umesababisha nimempoteza rafiki yangu kipenzi afrodenz kwenye hii thread yako. so stop editing posts ambazo ulikuwa unanijibu. ok? usitegemee kwenda kila mahali na kupigiwa makofi
 
Ninashangaa sijui ni kwanini naanza kuingiwa na moyo wa kukuhurumia. vumilia maana hiyo ndo hali halisi ya maisha kwamba unavuna unacho panda. tokea mwanzo hukuwa mtu stahiki kutuma vigezo vyakokatika post hii. Hata maandiko matakatifu yanasema "kisicho stahiki huenda kwa asiye stahiki". kupoteza mtu kipezi na mwenye uelewa mkubwa kama Afrodenz ni pigo la mwaka ila jikaze tu baba isha tokea hakuna njia bt kwa mi binafsi na kupongeza sana kwa hilo maana siku chache zilizo pita ulisema kuwa unawafumbua macho wadada wa JF. sasa huyo kipenzi wako hivi sasa nayeye ameona ( nahisi ali pop shampain huko aliko) nakuomba uendelee na moyo huohuo wakuwafumbua macho hawa wadada na usiishie wa JF pekee bali hata na wa huko matoni uliko na wahapa bongo ukirudi.

na sio vibaya watu wakafahamu nasikiliza nyimbo gani kwa sasa ‪Rihanna - Man Down‬‏ - YouTube

Cause I didn't mean to hurt him
Could've been somebody's son
And I took his heart when
I pulled out that gun

Rum pum pum rum pum pum pum rum pum pum pum
Man Down
Rum bum bum bum rum bum bum bum rum bum bum bum
Man Down

Oh mama mama mama
I just shot a man down
In central station
In front of a big ol crowd
Oh Why Oh Why
Oh mama mama mama
I just shot a man down
In central station
 
i have money..cars ,house..dont mess up wid me!!
I have courange and personality , I do not afraid to loose or to look like a fool to any one. I even lough at defeat . so any time u are free to mess up with me. because when the sun come 2 mmorw it will be a new day.
 
I have courange and personality , I do not afraid to loose or to look like a fool to any one. I even lough at defeat . so any time u are free to mess up with me. because when the sun come 2 mmorw it will be a new day.
where will you go with ya courage? ya just trying to compare bao bao tree and mchicha..who are you.. ya nothing.. and you will never get any girl here in JF kizuri chajiuza kibaya chajitembeza..nimeamua nikuachie thread yako lakini unajiona kuwa umeshinda sio ? nope.. wewe ni kama sisimizi kwangu....ok.. im buzzy with fiesta
via ipad2
 

Hahaha,i love Afrodenz so badly jamani doh
 

saint Ivu, please potezea man take it simple ni kawaida kwa binadamu kupirhana kimsimamo bt lengo la Jf ni kuelimashana na sio kujenga chuki.
 
you will end marrying ya house gal. im telling you boy


Kwani housegirl yeye sio mwanamke? Acha ushamba wewe, nimekuvumilia nimechoka. U don't seem to be gentle na nahis una inferiority fulani na hauna courage kama wanaume wenzio. Acha kuandika upuuzi humu, ushauri hautolewi kwa jinsi hii.
 
Duh! nimeshasahau tulikotoka ana tunakoelekea! i am trying to refresh zikikamata nitachangia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…