Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
kasema mwenyewe .. huyu seerious anayaka demu si unaona hadi kaacha namba hapo? ww unawezaaaa?JF bwana. Ni kipi kimewafanya muamini kuwa hiyo ni picha yake??? Anyway hata kama ni yake ni ngumu kwa TZ kusema umri wa mtu kwa kuangalia sura. Kwa hiyo si haki kusema kuwa hasemi ukweli. Nakutakia kila la heri ila nadhani members wengi humu wako above your age hivyo yaweza kuwa shida kidogo kupata wa umri wako.
sawa kijana nadhani wahusika wameiona.hi ndo picha yangu
mwaNe wani hapo kwenye mstari umewachana mle mleeehayo yote mlio sema ni sawa , Lizzy nimeweka picha sababu hata fcbk ni mtandao wa kijamii ila nimeweka picha zangu then am na sioni aibu mtu yoyote kujua kwamba natafuta mchumba sabau its my life , ilo suala la umri nimesema am aged 23 full stop na basi.na acheni kuwa wawekea watu mentality za baa. kama una nia ni suala la kupiga simu then 2nadait na kama ukinona nafanana na babu yako basi u knw wht to do coz i did not say nataka blinded person ambaye hawezi kuona how i look like.
wew mkaka ni mzuri kweli nimekupenda sasa kama vipi niwekee picha yako moja ukiwa mtupu.. badae nitakupa namba yangu!
Una miliki bar nini? Naona background ya jokofu za kimea tupu?napenda sana old skool
nilikuwa kwenye vocationUna miliki bar nini? Naona background ya jokofu za kimea tupu?
Aiseeenilikuwa kwenye vocation
dah mshkaji upo juu balaa.... umenikumbusha mbali sana aisee... yani kama Beenavs Gatho mzee wa azalaki se awahi ndo picha yangu
aisee.... ulikua VETA ipi???nilikuwa kwenye vocation
Huyu jamaa kapotea, analeta mambo ya twiter humu forum duh! Kaka nenda tabora utapata wako!Nenda facebook kaka; mbona unahangaika hapa na invinsible friends? utapata mke mwanaume shauri zako
Dddaaaaaaaaaaaaaaaaayyyyyyyyyyyyyyyymmmmmhi ndo picha yangu
umeniwahi swali nangu mwane waneMwanangu uliwahi kufanya kazi ya kuchunga ng'ombe nin?
aa nshajua ndio maana mnapenda wakongooo...waiUngekuwa mweupe kidogo. Lkn ulivyo, aku!
bac muulize kama aliwahi kuwa mwana apolo kule mererani!umeniwahi swali nangu mwane wane