sasa mdogo wangu BOG ebu nikuulize maswali machache ili nione jinsi ya kukusaidia
1. Umeshawai kuwa na demu kabla,kama ndio nani alikutongozea?
2. Umeshawai kufanya tendo la ndoa,kama ndio nambie ulijiskiaje?
3. Wewe ni mwanamziki wa kufokafoka,kama ndio umeshatoa singo?
4. Una undugu na hayati REMY ONGARA,kama hapana mbona mmefanana mashavu?
5. Upo tayari ku-edit miaka yako iendane na sura yako,kama ndio umetoa wapi iyo tabia ya kudanganya watu umri?
Ok naomba nijibu then nitakusaidia mdogo wangu,kwani uko presentable,jasiri, unajua kuvaa yani kama enzi za MC HAMMER vile,japo kuna mdau apa kanidokeza kwamba pia unaonekana kwa KIDUKU we ni balaa..mimi ndio MATUMBO BIN MATUMBO,karibu nikusaidie!!!