Embu mwacheni mwenzenu.Kama na nyie mnajiamini embu wekeni zenu kama uhamiaji hawajatonywa kuna wakimbizi kutoka Sudan/Somalia wanajiachia bongo bila vibali.bac muulize kama aliwahi kuwa mwana apolo kule mererani!
kamanda huyu mdada keshaingia kingi kilichobaki ni yeye tu kukuendea hewani then mnamalizana au sio?ni maji ya kunde ila pindi picha inachukuliwa hapakuwa na mwanga wa kutosha, bt colour does nt make a man and a proud to be black coz thats how we are.
kamanda jibu hilo swali hapobac muulize kama aliwahi kuwa mwana apolo kule mererani!
Sasa nimeamini uko serious, pamoja na kurushiwa mishale yote na wanajamvi wala hujapanik.... ila naamini baada ya siku kadhaa ukija kuomba michango ya harusi hawatakuwa na hiyana kukuchangia. Utampata tu wadada walivyo na njaa ya kuolewa watakutafuta tu.ni maji ya kunde ila pindi picha inachukuliwa hapakuwa na mwanga wa kutosha, bt colour does nt make a man and a proud to be black coz thats how we are.
analysti hiyo avatar inatishaebwana usijali hayo madongo wanayokupiga, we subiri tu atajitokeza tu mrembo ataku pm. Wewe kama hunaona hajakuvutia si ukae kimya, ya nini kuanza kutoa maneno ya kshfa!!
sasa huyo muuaji kwenye avator unampendea nini?ebwana usijali hayo madongo wanayokupiga, we subiri tu atajitokeza tu mrembo ataku pm. Wewe kama hunaona hajakuvutia si ukae kimya, ya nini kuanza kutoa maneno ya kshfa!!
ha ha ha mkuu u made ma dayHahahhah JF naipenda sana...mtu katoka huko kaja kichwa kichwa kaandika hivi ...... hahah pumbatupu kamwingiza mwenzake chakaaaaaaaaaa ... kampiga saundi eti aweke picha lake hahahhamwane wane jamaa s akaweka kweliiiiiiii hahahahahahahah, mambo ya kuvamia mitandao haya .. seneta kaibuka huko kampa dongo hhahahha mwaana kapiga piga na minguo ya mbele anajua ndio mashori watamkubaliii hahaha mara kaambiwa aongeze umri kwa sababu ile picha yake na umri alioutaja haviendani jamani hahhakidouble ina maana mwana ana kitu 36?? lakini kweli hii ndio inaendana na picha yaketchao
mbona ye mwenyewe kasema mtu aliye seriously hawez akatamfuta mpenzi mtandaoni?jamani msela yupo serious!! ... wa dada wa JF ... changamkieni issue hii
hahahhhahahhasasa mdogo wangu BOG ebu nikuulize maswali machache ili nione jinsi ya kukusaidia
1. Umeshawai kuwa na demu kabla,kama ndio nani alikutongozea?
2. Umeshawai kufanya tendo la ndoa,kama ndio nambie ulijiskiaje?
3. Wewe ni mwanamziki wa kufokafoka,kama ndio umeshatoa singo?
4. Una undugu na hayati REMY ONGARA,kama hapana mbona mmefanana mashavu?
5. Upo tayari ku-edit miaka yako iendane na sura yako,kama ndio umetoa wapi iyo tabia ya kudanganya watu umri?
Ok naomba nijibu then nitakusaidia mdogo wangu,kwani uko presentable,jasiri, unajua kuvaa yani kama enzi za MC HAMMER vile,japo kuna mdau apa kanidokeza kwamba pia unaonekana kwa KIDUKU we ni balaa..mimi ndio MATUMBO BIN MATUMBO,karibu nikusaidie!!!
nakushukuru mkubwa.Sasa nimeamini uko serious, pamoja na kurushiwa mishale yote na wanajamvi wala hujapanik.... ila naamini baada ya siku kadhaa ukija kuomba michango ya harusi hawatakuwa na hiyana kukuchangia. Utampata tu wadada walivyo na njaa ya kuolewa watakutafuta tu.
1.well nimesha wahi kuwa na demu + mademu na nilitongoza mwenyewe. tatizo lao wanakuwa shortcyted people and worstly they dont love me but they love wht i have. 2. nimesha fanya tendo la ndoa and its quet interesting ( i do love sex), last time i had it was lat year and it was safe sex. but this year not yet coz nw am honest with myself and i wan be like what I am looking 4, i even had a house girls at difrent time ila sikufanya nao chochote maana makubalino yalikuwa ni wanisaidie kazi and i did nt want to take advantage, then they quet the job.sasa mdogo wangu BOG ebu nikuulize maswali machache ili nione jinsi ya kukusaidia
1. Umeshawai kuwa na demu kabla,kama ndio nani alikutongozea?
2. Umeshawai kufanya tendo la ndoa,kama ndio nambie ulijiskiaje?
3. Wewe ni mwanamziki wa kufokafoka,kama ndio umeshatoa singo?
4. Una undugu na hayati REMY ONGARA,kama hapana mbona mmefanana mashavu?
5. Upo tayari ku-edit miaka yako iendane na sura yako,kama ndio umetoa wapi iyo tabia ya kudanganya watu umri?
Ok naomba nijibu then nitakusaidia mdogo wangu,kwani uko presentable,jasiri, unajua kuvaa yani kama enzi za MC HAMMER vile,japo kuna mdau apa kanidokeza kwamba pia unaonekana kwa KIDUKU we ni balaa..mimi ndio MATUMBO BIN MATUMBO,karibu nikusaidie!!!
naona umedhamiria mkuu,me nilijua mznguzi 2,nwey endelea kusubir,utawapata 2!1.well nimesha wahi kuwa na demu + mademu na nilitongoza mwenyewe. tatizo lao wanakuwa shortcyted people and worstly they dont love me but they love wht i have. 2. nimesha fanya tendo la ndoa and its quet interesting ( i do love sex), last time i had it was lat year and it was safe sex. but this year not yet coz nw am honest with myself and i wan be like what I am looking 4, i even had a house girls at difrent time ila sikufanya nao chochote maana makubalino yalikuwa ni wanisaidie kazi and i did nt want to take advantage, then they quet the job.3. mie ni mwanamziki ila sio msanii wakuimba bt kwa kuwa napenda mziki siku za usoni naweza kupata coach then nikaanza. 4. nimefurahi kufanna na marehemu , ila sina undungu naye ingawa ni kweli kwamba mashavu yangu yanafanana na ya babu yangu.5.Suala la miaka ni kwamab hiyo 23 ndo miaka yangu , kwenye picha naonekana aged kidogo kuliko ukiniona kwa macho, nimeanza darasa la kwanza 1997. baada ya elimino.Nashukuru kwa maswali yako