Sijaona mkare (4 girls)

haaah haaah haaah dah mwana B.O.G ucjal utapata mtoto wa ukweli biliv me man wadada kibao tu wanatafuta real luv, bt picha yako ya mwaka 1996 duh itawaopesha haaah haaah ulikua wapi enz hizo?somalia au?
 
Kila la heri kijana.....

Japokuwa sijaelewa......title na contents..kama vile haviendani????!!!!....................
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh..we dogo kama sio mi-bange inakusumbua basi una matatizo ya akili,yani kila unachoambiwa we unafanya tuaya basi tuwekee na naniiiiiiiii yako tuione..mkiambiwa msipulize ayo majani mnaona watu wabaya kweli ona sasa,izi sio akili zako kabisa
 
Dah nimesoma majibu ya BOG hapa, this guy sounds determined, n so confident, dah age limit aliyoiweka ingekua ime expand kidogo.......! dah labda......
 
I beg To nominate this as THE POST OF THE YEAR for 2011 so far (may be others to come)
Najua watu wengi hawapendi kuweka picha zao hapa kwa sababu tofauti, na siwapingi (maana hata mi ni mmoja wao), Hata hivyo sipingi suala la huyu BOG kuweka picha zake. I believe kwa upeo alio nao (kwa namna alivyojibu maswali na kujieleza), ametathmini na kuona kuwa inafaa.

Kuna kitu kimoja ambacho namu-admire nacho huyu jamaa; hajamjibu mtu kwa jazba, pamoja na kejeli, vijembe na pengine matusi aliyopokea kutoka kwa wengine wetu. Kikubwa zaidi, baadhi yetu tumekuwa tukitoa au kuuliza points zilizochanganywa na kejeli, lakini yeye anachambua point anaijibu, anaachana na kejeli, kitu ambacho kwa wengi hapa JF sio rahisi. Kwa hili wala siogopi kusema kuwa japo wewe ni mdogo wangu sana lakini nimejifunza. Naamini wapo wengine pia wamejifunza.
 

nonsense
 

dogo nina uhaika ushawapoteza mademu wote .. ngoja mm niweke picha ya skani kwangu tu . uani kwangu ili uone kuwa wewe bado unatakiwa usome na sasa hivi sio mda au kwa umri wako huo hutakiwi kabisa ukimbilie kuanza maisha .. dogo fight kwanza utoke .. ok well ima gonna put sm of ma stuff
 
Huwa sipendi ubabaishaji maranyingi huwa najaribu kumaanisha nilicho kisema ama ninacho kusudia , 4 ur information i dont drnk , i do`nt smoke and i do not drug. then sorry i am not looking for a gey coz ur a man then u wanna c my naniii 4 what?
 
tehe tehe!! mbona nimepiga No. yako haipatakani aisee.

BTW is it posible kwa mtu kupata mke huku na kuwowa?
simu yangu iliishiwa chaji sababu ya umeme ila sasa nipo hewani.
 
Dah nimesoma majibu ya BOG hapa, this guy sounds determined, n so confident, dah age limit aliyoiweka ingekua ime expand kidogo.......! dah labda......
Seriously age is just a number and does not matter that much bt lets say 18 to 25 ur all wlcmd.
 
dogo tuko pamoja...? sio unatuwekea vyeti vya kushinda debate shule ya msingi huko
 
bro thank u alot and ur the man.
 
View attachment 34458View attachment 34459 Haters gona hate and players gona play. yakwanza nilikuwa sehemu sehemu , na ya pili niko na mshikaji wangu nimeshika begi jeusi mkono wa kushoto tukiwa chuoni 2009.
dogo soma ... huna swaga za kumvutia mwanamke yoyote hapa JF ukae ukijua kuwa baadhi yao wako mbele .. wengine tunaishi kwenye gym tukiweka picha zaetu hapa tutavuruga ndoa za watu .. sasa soma maliza chuo kuna bodi ya mkopo siku hizi huwezi kusingizia kuwa wazazi wako ni maskini,... ukishamaliza chuo piga ujasiriamali ukiweza kununua madude kama hayo hapo chini njoo hapa JF ..asikudanganye mtu mapenzi bila pesa sio mapenzi
ok?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…