Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Huyu mwenye hii biashara ni maarufu sana kwa utengenezaji wa maturubai ya magari ya mizigo kama Canter, Fuso, Scania tandem n.k
Mwamba kajipata sana sijaona mshindani wake mpaka sasa. Siri ya mafanikio yake ni nini hasa?
Ni kama kaliteka soko la nchi nzima
Kabla yake najua walikuwepo wenye biashara ya kutengeneza maturubai ya magari. Kwa nini aliwaangusha?