Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Hii ndio mifano halisi ya ubunifuHuyo mwamba anakimbiza sana kila chuma iliyokula bomba lazima turubai ni Mnyalu Canvas
Yeah kaliteka soko aiseeHii ndio mifano halisi ya ubunifu
Sijaona mpinzani wake huyu mwambaKibongobongo hana mpinzani ktk hiyo nyanja
Nimeona hilo maana nimezunguka maeneo mengi ya nchi ni mwendo wa Mnyalu Canvas kwenye turubai za magari ya mzigoKibongobongo hana mpinzani ktk hiyo nyanja
Huyu Hana mpinzani aiseeHuyu mwenye hii biashara ni maarufu sana kwa utengenezaji wa maturubai ya magari ya mizigo kama Canter, Fuso, Scania tandem n.k
View attachment 2886143
Mwamba kajipata sana sijaona mshindani wake mpaka sasa. Siri ya mafanikio yake ni nini hasa?
Ni kama kaliteka soko la nchi nzima
Kabla yake najua walikuwepo wenye biashara ya kutengeneza maturubai ya magari. Kwa nini aliwaangusha?
SikupingiHuyu Hana mpinzani aisee
Na vipi kama washindani wake wanayapiga Chata hiyo hiyo ya mnyaru canvas?Sijaona mpinzani wake huyu mwamba
Hiyo kibiashara imekaaje?Na vipi kama washindani wake wanayapiga Chata hiyo hiyo ya mnyaru canvas?
Maana yote yanawezekana
Ni ngumu sana ingejulikanaNa vipi kama washindani wake wanayapiga Chata hiyo hiyo ya mnyaru canvas?
Maana yote yanawezekana
Jamaa inaonekana ni mpambanaji sana, Mungu huwainua wanyenyekevuNi jamaa mmoja humble Sana anapiga Kazi kama kibarua ...nilishawahi kupata chochote kitu' kutoka kwake ...unajua mjini ukiwa huna mishe wafuate wenye mishe ...hivyo enzi hizo nadhani aliokoa mahali.
Aboreshe basi ofisi yake maana kama ni kibunda anacho.Ni jamaa mmoja humble Sana anapiga Kazi kama kibarua ...nilishawahi kupata chochote kitu' kutoka kwake ...unajua mjini ukiwa huna mishe wafuate wenye mishe ...hivyo enzi hizo nadhani aliokoa mahali.
NAKAZIAJamaa inaonekana ni mpambanaji sana, Mungu huwainua wanyenyekevu
Ofisi zake ziko wapi? Ana branches sehemu tofauti tofauti Tz au ni Dar peke yake?
Ukiongezea nyama kwenye stori yako angalau tutaweza kumfahamu kimtindo huyu jamaa
Ofisi haiendaji na ukubwa wa brand yake au ndio kafokas kikazi zaidi.Aboreshe basi ofisi yake maana kama ni kibunda anacho. Asikae kinyonge si umeona akina Dick Sound ofisi alivyoboresha baada ya kujipata
View attachment 2886174
View attachment 2886176View attachment 2886175
Kweli brand kubwa sana halafu ofisi iko vile anajiangusha, Mnyalu afocus kikazi na kiofisiOfisi haiendaji na ukubwa wa brand yake au ndio kafokas kikazi zaidi.
Ofisi isadifu brand asiwe humble kwenye kuiboresha. Awe humble kwenye hudumaOfisi haiendaji na ukubwa wa brand yake au ndio kafokas kikazi zaidi.
Nimeipenda hiiOfisi isadifu brand asiwe humble kwenye kuiboresha. Awe humble kwenye huduma