Sijaona mshindani wa Mnyalu Canvas mpaka sasa. Siri ya mafanikio yake ni nini hasa?

Kwasababu ameanza muda mrefu kwenye game as kibarua nk...anaijua biashara nje ndani ndo imempa fursa ya kuweza kuwaweka pembeni aliowakuta kwenye game, sasa hapo apambane abaki maana washindani wake nao wanapambana kurudi kwenye game sitaki kuamini kama wamemwachia soko peke yake
 
Alinde brand sio? Unafikiri nini afanye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…