Sijaona mwanaume mwenye vigezo vya kunizalisha, Walio wengi ni matapeli

Sijaona mwanaume mwenye vigezo vya kunizalisha, Walio wengi ni matapeli

1.png

Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’
amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona
mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto
kwani wote anawaona ni tapeli wa mapenzi.
Akizungumza nasi hivi karibuni Maya alisema kuwa hakuna kitu
anachokitamani kama kupata mtoto lakini kila akifikiria mtu
anayeweza kupata naye mtoto ndipo ugumu unapokuja.

Ni hadithi tu hajataka. Mbona jama wako tu wenye heshima zawo. Si ajabu pengine yeye anawahusudu tu matapeli
 
Ndo tatizo la kutembea na mume wa mtu, ukimbebea mimba tu kakimbia. Tafuta wako dada.
 
Sijaelewa wakuu hao matapeli watampa mimba hewa ama?
 
Fungua Duka Dada. Siku hazigandi na jua linakuchwa!
 
Njoo nikupige mbupu we mtoto japokuwa shepu yako haijafinyangwa kwa stail zangu

Ukamuliwe uache zarau
 
Huyo analo...tena yawezekana watu wameona yeye ndiye Tapeli....!
 
Unadhani anatania ....hana huyo...anajaribu kuita kijanja ....ila washamstukia...kuwa siyo 'waifu matirio'...analo huyo
duh basi itakuwa ama ana kasoro au ana matatizo co mtoto wa kike kutokuwa na bf ni kazi sana hata wa kuzugia.
 
Kwanza niliwahi kumuona Sikonge kwenye basi la Sabena uuuuh...
 
1.png

Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’
amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona
mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto
kwani wote anawaona ni tapeli wa mapenzi.
Akizungumza nasi hivi karibuni Maya alisema kuwa hakuna kitu
anachokitamani kama kupata mtoto lakini kila akifikiria mtu
anayeweza kupata naye mtoto ndipo ugumu unapokuja.

MMmmh basi Akazae na mwanamke mwenzie ama mnyama
 
Back
Top Bottom